Kipofu kaona mwezi.....Ubingwa Msimu mmoja tu huu kelele mjini kama makinda ya ndege
Hilo sio kama darasa la awali we kilaza.Kocha hatafutwi kama pera wewe boya.
Mwalimu mzuri atafundisha darasa lolote sambamba na weledi wake. Mwalimu huwa na mbinu za kumfundisha mwanafunzi ili aelewe.
Team zetu za bongo sio simba tuu, wanaosajili ni viongozi na soo kocha kocha akija anashindwa kutengeneza chemistry ya team kwakuwa waliosajiliwa sio hitaji lake mwishowe anafukuzwaaaaaSote tunajua wazi simba hawana kocha tangu pablo kutoka real Madrid afukuzwe.
Kwa hivyo nafasi yake yupo kocha wa muda ambaye alikuwa msaidizi yaani matola.
Wakati haya yakiendelea huko yanga wanafanya usajiri wa lazarous kambole ambaye ni pendekezo la kocha nabi, kwa maana yanga wanafanyia kazi mapendekezo ya kocha wao.
Hii ni maana halisi ya uweledi katika kazi kama ambavyo mataifa mengine yanafanya, ikumbukwe kuwa kocha nabi aliletewa beki wa kushoto kutoka Uganda mustapha kiiza lakini alimkataa na uongozi ukaachana naye.
Sasa huku simba hawana kocha je mapendekezo haya ya usajiri ni kutoka kwa nani?
Wamemsajiri Moses phiri je amependekezwa na kocha gani?
Wamemsajiri victor akpan je kocha yupi amependekeza?
Hapa unakuja kugundua wazi simba kuna wizi na upigaji mkubwa sana, naanza kuamini yale mambo ya 10 percent kuna wapiga dili wengi humo.
Halafu kwa mtindo huu eti wanataka waingie fainali huko cafcl!
Utaingiaje ikiwa unao viongozi wezi na wapiga dili?
Utaingiaje ikiwa tajiri yeye ndo anasajiri bila mapendekezo ya kocha?
Utaingiaje ikiwa team ina migogoro ya ndani kwa ndani baina ya viongozi wenyewe ambao kiuhalisia wote ni wezi na wamepishana maslahi yao ya wizi?
Sawa basi tuseme matola ndo amemtaka akpan? What next then?
Halafu akija kocha mpya anapewa wachezaji hawa wa hovyo waliosajiriwa kwa madili na 10 percent eti malengo yetu ni kufika fainali! Fainali ipi hiyo?
Haya bwalya ameachwa, je ni pendekezo la nani kuwa aachwe? Kocha gani?
Vipi kocha mpya asisubiriwe kwanza kisha achague wachezaji anaowataka na wale watakaotemwa sababu yeye ndio mkufunzi wao?
Kuna harufu ya rushwa na upigaji mkubwa sana humo..! Na sio ajabu tukaambiwa pablo ametoka real Madrid kumbe ni wizi na udalali.
Simba ni klabu inayoendeshwa kizamani
Mwisho kuiga wengne wanayofanya ni sawa sio dhambi, yanga apongezwe kwa hili.
Simba tumeitoa maana huwa inasajili bila mapendekezo ya kocha tuje upande wenu mliokuwa mkisajili kwa mapendekezo maalumu ya kocha kama vile Mwinyi Zahera na Lucy Eymael je mmewahi fika wapi huko champions league?Cheki huyu
Unaleta ushabiki wa vijiweni huko kwenu.
Mafanikio ni kuchukua makombe basi huko CAf simba ana kombe gani au lile la ranks?
Ukweli mchungu ambao watauelewa wachacheSote tunajua wazi simba hawana kocha tangu pablo kutoka real Madrid afukuzwe.
Kwa hivyo nafasi yake yupo kocha wa muda ambaye alikuwa msaidizi yaani matola.
Wakati haya yakiendelea huko yanga wanafanya usajiri wa lazarous kambole ambaye ni pendekezo la kocha nabi, kwa maana yanga wanafanyia kazi mapendekezo ya kocha wao.
Hii ni maana halisi ya uweledi katika kazi kama ambavyo mataifa mengine yanafanya, ikumbukwe kuwa kocha nabi aliletewa beki wa kushoto kutoka Uganda mustapha kiiza lakini alimkataa na uongozi ukaachana naye.
Sasa huku simba hawana kocha je mapendekezo haya ya usajiri ni kutoka kwa nani?
Wamemsajiri Moses phiri je amependekezwa na kocha gani?
Wamemsajiri victor akpan je kocha yupi amependekeza?
Hapa unakuja kugundua wazi simba kuna wizi na upigaji mkubwa sana, naanza kuamini yale mambo ya 10 percent kuna wapiga dili wengi humo.
Halafu kwa mtindo huu eti wanataka waingie fainali huko cafcl!
Utaingiaje ikiwa unao viongozi wezi na wapiga dili?
Utaingiaje ikiwa tajiri yeye ndo anasajiri bila mapendekezo ya kocha?
Utaingiaje ikiwa team ina migogoro ya ndani kwa ndani baina ya viongozi wenyewe ambao kiuhalisia wote ni wezi na wamepishana maslahi yao ya wizi?
Sawa basi tuseme matola ndo amemtaka akpan? What next then?
Halafu akija kocha mpya anapewa wachezaji hawa wa hovyo waliosajiriwa kwa madili na 10 percent eti malengo yetu ni kufika fainali! Fainali ipi hiyo?
Haya bwalya ameachwa, je ni pendekezo la nani kuwa aachwe? Kocha gani?
Vipi kocha mpya asisubiriwe kwanza kisha achague wachezaji anaowataka na wale watakaotemwa sababu yeye ndio mkufunzi wao?
Kuna harufu ya rushwa na upigaji mkubwa sana humo..! Na sio ajabu tukaambiwa pablo ametoka real Madrid kumbe ni wizi na udalali.
Simba ni klabu inayoendeshwa kizamani
Mwisho kuiga wengne wanayofanya ni sawa sio dhambi, yanga apongezwe kwa hili.
Ukweli mchungu sana huuSote tunajua wazi simba hawana kocha tangu pablo kutoka real Madrid afukuzwe.

Msimu ujao utaishangilia Yanga kimataifa upende usipendeWeww unayesajili kitaalam kwenye rank za caf uko wapi?
Umefanya nn ?
Mm nipo wapi ?
Nafanya nn?
Msimu ujao kimataifa unaanzia wapi?
Mimi naanzia wapi?
Barua ya mashindano ya friendlies aliyoleta mamelodi kapewa nani ?kwanini usipewe ww mtaalamu?
Kijana acha upuuzi
Mwisho wa siku matokeo ndo yanamatter umebaki kulialia hapa
Sajili unavotaka mkubwa tuache na litimu letu
Umekaa kulialia hapa misimu minne iliyopita ulikua eda huko
Tulia.