Usajili huu wa walevi Yanga haukubaliki kabisa

Mimi kama mshabiki wa Dar young Africa sikubaliani kabisa usajili huu wa walevi wawili, Ogra na Mkude. Hawa ni walevi sio wachezaji, hawastaili kusajiliwa Yanga.
Na wewe umeanzisha Uzi JF furahi Sasa.
 
Mimi kama mshabiki wa Dar young Africa sikubaliani kabisa usajili huu wa walevi wawili, Ogra na Mkude. Hawa ni walevi sio wachezaji, hawastaili kusajiliwa Yanga.
Halafu unaonekana umekimbia umande wewe, kutokana na kuwa na shida kubwa kwenye uandishi wako. Kwanza unatakiwa uelewe; hakuna timu inayoitwa Dar young Africa! Isipokuwa kuna Young Africans Sports Club (au kwa jina maarufu Yanga).

Lakini pia huyo mchezaji anaitwa Augustine Okrah! Na siyo Ogra.
 
Mchezaji mpira ni binadamu kuna walevi ,malaya na wachawi open your mind
 
Yeye anadhani wale wanaocheza ni wanafunzi wa Yesu,,manabii na Mitume,maustadhi,,makasisi,,walei na walimu wa madrasa!!
 
Wewe mwenyewe ndio chapombe mkuu, hata kuandika tu huwezi!

Mkuu tulia, ile kazi ina wenyewe na wanajua wanachokifanya.
Kama wameweza kutuletea Ki, Pacome, Max na hata Mayele una wasiwasi gani?
Bila kusahau Skudu na Gift
 
Binadamu wanafiki sana.

Unakuta anamkataa mlevi lakini yeye ni muongo au mwizi.
 
Mimi kama mshabiki wa Dar young Africa sikubaliani kabisa usajili huu wa walevi wawili, Ogra na Mkude. Hawa ni walevi sio wachezaji, hawastaili kusajiliwa Yanga.
Walevi ndio tunaendesha uchumi wa nchi Pimbi wewe.

Kwahiyo hizi ndio akili za wanywa soda hata kuandika kama bata?
 
Wewe mwenyewe ndio chapombe mkuu, hata kuandika tu huwezi!

Mkuu tulia, ile kazi ina wenyewe na wanajua wanachokifanya.
Kama wameweza kutuletea Ki, Pacome, Max na hata Mayele una wasiwasi gani?
Kabisa wamekuja Gift, Doumbia, Kambole, konkoni sijui ana wasiwasi upi?
 
Ulevi sio ishu kama wanaperfom uwanjani ulaya kulikuwa na wachezaji walevi wengi tena wakata whisky sio bia kama steven gerrard,rio ferdinand,wayne rooney na still kwenye pitch walikuwa wanakichafua ile mbaya
 
Mimi kama mshabiki wa Dar young Africa sikubaliani kabisa usajili huu wa walevi wawili, Ogra na Mkude. Hawa ni walevi sio wachezaji, hawastaili kusajiliwa Yanga.
Una akili ya viongozi wangu wa Simba ,akili ya hovyo kabisa hii.
Mchezaji ahukumiwe kwa uwezo wake uwanjani ,kwani timu inasajili makasisi?!
 
Mimi kama mshabiki wa Dar young Africa sikubaliani kabisa usajili huu wa walevi wawili, Ogra na Mkude. Hawa ni walevi sio wachezaji, hawastaili kusajiliwa Yanga.
Kwani bado hawajasajiliwa? Halafu huku hakuna vikao vya yanga nenda kulee jangwani
 
Back
Top Bottom