Acha matusiUmeandika huku unapiga punyeto daah
Na wewe umeanzisha Uzi JF furahi Sasa.Mimi kama mshabiki wa Dar young Africa sikubaliani kabisa usajili huu wa walevi wawili, Ogra na Mkude. Hawa ni walevi sio wachezaji, hawastaili kusajiliwa Yanga.
Halafu unaonekana umekimbia umande wewe, kutokana na kuwa na shida kubwa kwenye uandishi wako. Kwanza unatakiwa uelewe; hakuna timu inayoitwa Dar young Africa! Isipokuwa kuna Young Africans Sports Club (au kwa jina maarufu Yanga).Mimi kama mshabiki wa Dar young Africa sikubaliani kabisa usajili huu wa walevi wawili, Ogra na Mkude. Hawa ni walevi sio wachezaji, hawastaili kusajiliwa Yanga.
Yeye anadhani wale wanaocheza ni wanafunzi wa Yesu,,manabii na Mitume,maustadhi,,makasisi,,walei na walimu wa madrasa!!Mchezaji mpira ni binadamu kuna walevi ,malaya na wachawi open your mind
Bila kusahau Skudu na GiftWewe mwenyewe ndio chapombe mkuu, hata kuandika tu huwezi!
Mkuu tulia, ile kazi ina wenyewe na wanajua wanachokifanya.
Kama wameweza kutuletea Ki, Pacome, Max na hata Mayele una wasiwasi gani?
Walevi ndio tunaendesha uchumi wa nchi Pimbi wewe.Mimi kama mshabiki wa Dar young Africa sikubaliani kabisa usajili huu wa walevi wawili, Ogra na Mkude. Hawa ni walevi sio wachezaji, hawastaili kusajiliwa Yanga.
Kabisa wamekuja Gift, Doumbia, Kambole, konkoni sijui ana wasiwasi upi?Wewe mwenyewe ndio chapombe mkuu, hata kuandika tu huwezi!
Mkuu tulia, ile kazi ina wenyewe na wanajua wanachokifanya.
Kama wameweza kutuletea Ki, Pacome, Max na hata Mayele una wasiwasi gani?
Una akili ya viongozi wangu wa Simba ,akili ya hovyo kabisa hii.Mimi kama mshabiki wa Dar young Africa sikubaliani kabisa usajili huu wa walevi wawili, Ogra na Mkude. Hawa ni walevi sio wachezaji, hawastaili kusajiliwa Yanga.
Kwani bado hawajasajiliwa? Halafu huku hakuna vikao vya yanga nenda kulee jangwaniMimi kama mshabiki wa Dar young Africa sikubaliani kabisa usajili huu wa walevi wawili, Ogra na Mkude. Hawa ni walevi sio wachezaji, hawastaili kusajiliwa Yanga.
Tena wengine wanatabia km za kwakeMchezaji mpira ni binadamu kuna walevi ,malaya na wachawi open your mind
π π€£ π π πEbu tulia kwanza ndo uandike unatupa tabu wasomaji aueleweki tunashindwa changia uwenda mada ni nzuri