Habari zenu wana jamii forum, poleni na majukumu mazito ya kujenga taifa, nilikuwa naomba msaada wenu wana jamii, nina project ya magazine nataka kuifanya, sasa naomba mnisaidie ni wapi napaswa kwenda kufanya usajili wa hii magazine ili iwe halali project halali?