Usajili mpya ndani ya wekundu wa msimbazi jioni hii

Usajili mpya ndani ya wekundu wa msimbazi jioni hii

Ko striker mbovu anaweza mfungaji bora? Goli 21
Msimu wa pili Kufikisha goli 14.
Na msimu watatu akiwa majeruhi akifikisha goli Tisa.
Je huyu ni striker mbaya?
wapi nmesema mbovu! nmesema style yake ya mchezaji ni kama Boko na Kagere tu, alafu ana miaka 30, ni injury prone, na viwanja vyetu sijui kama atatusaidia.
 
117750242_3258697417551443_5196993952843672672_n.jpg
 
wapi nmesema mbovu! nmesema style yake ya mchezaji ni kama Boko na Kagere tu, alafu ana miaka 30, ni injury prone, na viwanja vyetu sijui kama atatusaidia.
Kagere alikuja na miaka Mingapi?
Injury prone ndani ya misimu mitatu injury serious moja?
 
nlikuwa Zambia, na nlikuwa nakaa jiran na uwanja wa Dynamo, hawa wachezaji nawajua vizuri, sijakurupuka kishabiki!
Ok natamani uthibitisho walau wachezaji watatu Bora wa timu ile ametoka kinyume na huyu
 
Back
Top Bottom