wapi nmesema mbovu! nmesema style yake ya mchezaji ni kama Boko na Kagere tu, alafu ana miaka 30, ni injury prone, na viwanja vyetu sijui kama atatusaidia.Ko striker mbovu anaweza mfungaji bora? Goli 21
Msimu wa pili Kufikisha goli 14.
Na msimu watatu akiwa majeruhi akifikisha goli Tisa.
Je huyu ni striker mbaya?
naona unatia nyama uongo wakonlikuwa Zambia, na nlikuwa nakaa jiran na uwanja wa Dynamo, hawa wachezaji nawajua vizuri, sijakurupuka kishabiki!
Kagere alikuja na miaka Mingapi?wapi nmesema mbovu! nmesema style yake ya mchezaji ni kama Boko na Kagere tu, alafu ana miaka 30, ni injury prone, na viwanja vyetu sijui kama atatusaidia.
Ok natamani uthibitisho walau wachezaji watatu Bora wa timu ile ametoka kinyume na huyunlikuwa Zambia, na nlikuwa nakaa jiran na uwanja wa Dynamo, hawa wachezaji nawajua vizuri, sijakurupuka kishabiki!
Hivi kukaa karibu na mahakama ndio kujua sheria vle?nlikuwa Zambia, na nlikuwa nakaa jiran na uwanja wa Dynamo, hawa wachezaji nawajua vizuri, sijakurupuka kishabiki!
sio nane ni 7 huyo wa nane ni nani???Hahaha Mo bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi sasa 8View attachment 1539341
Wahindi ni waswahili kulko waswahili asiliaHahaha Mo bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi sasa 8View attachment 1539341