Acha Dhambi
Senior Member
- Oct 19, 2010
- 145
- 41
nimelipia usajili wa mtihani (pc) form four kwa mpesa tangu tarehe 31/3/2014 mpaka leo sijarudishiwa jibu tatizo ni nini nisaidieni nifanyenini. sms ya mpesa ni BB02VJ991 Imethibitishwa Tsh 50,000 imetumwa kwa baraza la Mitihani Tanzania kwenye akaunti namba 3447305936336 tarehe 31/3/2014 saa 9:59AM