Usajili Simba hausikiki zimebaki tetesi tu

mmh

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
2,910
Reaction score
5,084
Team zote zinasajili na kutangaza sajili zao ila club ya Soka ya Simba Tanzania zinasikika tetesi ila hazikamiliki!

Je hiyo ndo professionalism au? Maana dunia nzima hata huko ulaya kuna hekaheka na wadau wanasikika lakini he sie Simba ndo tumekua proffesional kuliko hata huko ulaya tunakojifunza!?

Au hizo ndo Siri ambazo manara alikua anauza upande wa pili?!

CEO usitufanye tuwe wanyonge hivi mtaani yaani hatupumui? Mzigo upo sasa shida nini? Achieni vyuma na sie tutambe kidogo sie mashabiki sio maadui jamani ni mapenzi tu.

Information is power. Hatusikii mikataba ya Azam media Wala usajili Wala mnaowaacha, yes tunawasapoti lakini kwenye ukakasi acha tuseme kweli tuende sawa. Achieni walau mmoja hata kwa week basi sio hivo ndo zii kabisaa!! Bvrbvra fanya hivo kiongozi wetu.
 
Kumbuka tuna nafasi moja tu ya kimataifa so ni lazima tuwe makini
 
Yaani walikua hawajui mpaka sasa wamsajili nani au maana yako umakini upi?
 
Simba hatuna mashabiki wanaoandika utopolo kama huyu. Nyie utopolo hiyo ndio furaha yenu
 
Simba hatusajili kwa makelele
 
Bora mngenyamaza. Ila mlipoweka kiti , kalamu na karatasi halafu masaa 24 bilabila.
Hapo ndio mkashtukiwa kuwa mambo yenu siyo professional. Mikwara mingi insta wakati hamna kitu.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Team zote zinasajili na kutangaza sajili zao ila club ya Soka ya Simba Tanzania zinasikika tetesi ila hazikamiliki!

Je hiyo ndo professionalism au? Maana dunia nzima hata huko ulaya kuna hekaheka na wadau wanasikika lakini he sie Simba ndo tumekua proffesional kuliko hata huko ulaya tunakojifunza!?

Au hizo ndo Siri ambazo manara alikua anauza upande wa pili?!

CEO usitufanye tuwe wanyonge hivi mtaani yaani hatupumui? Mzigo upo sasa shida nini? Achieni vyuma na sie tutambe kidogo sie mashabiki sio maadui jamani ni mapenzi tu.

Information is power. Hatusikii mikataba ya Azam media Wala usajili Wala mnaowaacha, yes tunawasapoti lakini kwenye ukakasi acha tuseme kweli tuende sawa. Achieni walau mmoja hata kwa week basi sio hivo ndo zii kabisaa!! Bvrbvra fanya hivo kiongozi wetu.
Simba imesajili wachezaji wa ndani,na kutoka nhe wana nafasi moja tuwaachie nafasi na muda please

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Usajili upi kwan si lazima wapunguze waliopo.
 
Peter Banda is Red mzee.
Timu yake ya BULLETS wameconfirm sio mda huko instagramuni. Amelamba miaka 3.

Miqson Al ahly
Sasa Simba si nao waseme maana hizi tetesi ni za muda mrefu. Kukaa kimya ndo weledi huo au ni kitu gani?
Wakati mwingine unaweza kufanya vizuri ila ukakosea tu namna ya kutoa taarifa unakua umenyongoneza watu. Simba wajali basi mashabiki wao sio kuwaacha waokoteokote vitaarifa ovyo ovyo
 
Banda is red
 
Yaani walikua hawajui mpaka sasa wamsajili nani au maana yako umakini upi?
Kwani mkuu dirisha la usajili linafungwa kesho, nafasi zenyewe za kusajili chache sana.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Well-done ssc Tanzania hatimaye mmeachia, safi sana walau nasisi tuna cha kutuliwaza. Welcome peter Banda.
 
Team zote zinasajili na kutangaza sajili zao ila club ya Soka ya Simba Tanzania zinasikika tetesi ila hazikamiliki!

Je hiyo ndo professionalism au? Maana dunia nzima hata huko ulaya kuna hekaheka na wadau wanasikika lakini he sie Simba ndo tumekua proffesional kuliko hata huko ulaya tunakojifunza!?

Au hizo ndo Siri ambazo manara alikua anauza upande wa pili?!

CEO usitufanye tuwe wanyonge hivi mtaani yaani hatupumui? Mzigo upo sasa shida nini? Achieni vyuma na sie tutambe kidogo sie mashabiki sio maadui jamani ni mapenzi tu.

Information is power. Hatusikii mikataba ya Azam media Wala usajili Wala mnaowaacha, yes tunawasapoti lakini kwenye ukakasi acha tuseme kweli tuende sawa. Achieni walau mmoja hata kwa week basi sio hivo ndo zii kabisaa!! Bvrbvra fanya hivo kiongozi wetu.
Hzo team zote kwa akili yako ni sawa na SIMBA? Dhamani ya klabu always hupanda na kushuka. Now simba ni next level
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Hzo team zote kwa akili yako ni sawa na SIMBA? Dhamani ya klabu always hupanda na kushuka. Now simba ni next level
Wameshaachia kwenye official page ndicho tulichotaka na sio nyie mnashangilia tu hata tunapochochora. Waendelee kuachia majina. Hizi timu ni za watu lazima kuwe na engagement ya mashabiki.
 
Back
Top Bottom