mmh
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,910
- 5,084
Team zote zinasajili na kutangaza sajili zao ila club ya Soka ya Simba Tanzania zinasikika tetesi ila hazikamiliki!
Je hiyo ndo professionalism au? Maana dunia nzima hata huko ulaya kuna hekaheka na wadau wanasikika lakini he sie Simba ndo tumekua proffesional kuliko hata huko ulaya tunakojifunza!?
Au hizo ndo Siri ambazo manara alikua anauza upande wa pili?!
CEO usitufanye tuwe wanyonge hivi mtaani yaani hatupumui? Mzigo upo sasa shida nini? Achieni vyuma na sie tutambe kidogo sie mashabiki sio maadui jamani ni mapenzi tu.
Information is power. Hatusikii mikataba ya Azam media Wala usajili Wala mnaowaacha, yes tunawasapoti lakini kwenye ukakasi acha tuseme kweli tuende sawa. Achieni walau mmoja hata kwa week basi sio hivo ndo zii kabisaa!! Bvrbvra fanya hivo kiongozi wetu.