Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Nilikuwa nakuona una hekima na busara sana. Nimekudharau rasmi kuanzia leo.hiyo bilioni 1 idadi ya ushuzi?
ulichelewa sana. Fei Toto ni wa kusajiliwa kwa 1b?akileta porojo nitajibu porojoNilikuwa nakuona una hekima na busara sana. Nimekudharau rasmi kuanzia leo.
Fei Toto ni mchezaji mzuri lakini hajafikia dau hilo la bilioni. Hiyo ni wa milioni mia mbiliNimesikia kuwa National ya Misri imeshamchukua Chinga Boy kwenda kucheza kwa mabingwa hao wa Afrika. Simba wasipoteze muda watoe Bilioni 1 wamchukue kiungo wa Yanga Feisal. Huyu ni mchezaji wa kiwango cha jùu sana na Simba wakimchukua huyu lazima watamuuza sio chini ya Bilioni 3 mwakani. Piga picha Simba wana Feitoti, Chama na Bwalya sijui na huyo Peter Banda. Hii timu itakuwa hatari sana. SIMBA MCHUKUENI FEITOTO.
Kwaakili yako ya kitopolo huyo fey wako unashauri anunuliwe billion na simba! Peleka basi pendekezo lako kwa barbra, sisi huku wala ha2oni kwa squad lile la msimbazi huyo fey wako hata kwawale wachezaj 7 wa akiba hatopata nafasi yakua miongoni mwaoNilikuwa nakuona una hekima na busara sana. Nimekudharau rasmi kuanzia leo.
Kwa nini msimuuze Al Ahly kama anathamani hiyo?Nimesikia kuwa National ya Misri imeshamchukua Chinga Boy kwenda kucheza kwa mabingwa hao wa Afrika. Simba wasipoteze muda watoe Bilioni 1 wamchukue kiungo wa Yanga Feisal.
Huyu ni mchezaji wa kiwango cha jùu sana na Simba wakimchukua huyu lazima watamuuza sio chini ya Bilioni 3 mwakani. Piga picha Simba wana Feitoti, Chama na Bwalya sijui na huyo Peter Banda. Hii timu itakuwa hatari sana.
SIMBA MCHUKUENI FEITOTO.
Afu dogo mwenyewe anaonekana sio rizki kabisa. Asije akatuharibia vijana wetu wakaacha mazoezi wakipokezana kujisevia MpalangeSawa Fei toto wamekusikia ila simba ni timu ya wanaume sio watoto
Kumuelewa tu Nabi asiyejua kiingereza hadi awe na mtu wa kutafsiri pembeni.... Ndio akakutane na makocha wanaongea Spanish... Aaah subutuuuuKwa kipaji cha Fei Toto, akitoka Yanga anatakiwa aende Ulaya! Na siyo kwa hao mbumbumbu wanao endeshwa kama magari mabovu na yule KUCH KUCH Hotahe wa Bombay.
Nadhani haujui mpira wewe. Unashabikia mpira bila kuujua hasa. Feitoto unaweza kusema vipi hajui mpira! Kama ulikuwa na akili nyakati za akina Hussein Marsha na Issa Athumani utajua nasema nini kuhusu Feitoto.Kwaakili yako ya kitopolo huyo fey wako unashauri anunuliwe billion na simba! Peleka basi pendekezo lako kwa barbra, sisi huku wala ha2oni kwa squad lile la msimbazi huyo fey wako hata kwawale wachezaj 7 wa akiba hatopata nafasi yakua miongoni mwao
Na kwa nini umekazana aondoke Yanga?Kwani hamumuhitaji?Au mnataka mgawane mafao na Simba?Halafu ameshakuwa mzee.Mambo ya kumuita Toto ndiyo nini sasa?Nadhani haujui mpira wewe. Unashabikia mpira bila kuujua hasa. Feitoto unaweza kusema vipi hajui mpira! Kama ulikuwa na akili nyakati za akina Hussein Marsha na Issa Athumani utajua nasema nini kuhusu Feitoto.