Unakuja na result slip,usihofu ni kawaida vyeti utoka baada ya one year.
Nimekupata Baba gevovivah[/QUOT welcome sua
naomba kuuliza ili nisajiriwe hapo chuon ni lazima niwe na chet original cha form six au hata nikiwa na result slip yatosha.
nilimaliza mwaka jana six.