Usajili SUA

Usajili SUA

rajshar

Member
Joined
Oct 2, 2014
Posts
59
Reaction score
5
naomba kuuliza ili nisajiriwe hapo chuon ni lazima niwe na chet original cha form six au hata nikiwa na result slip yatosha.

Nilimaliza mwaka jana six.
 
Unakuja na result slip,usihofu ni kawaida vyeti utoka baada ya one year.
 
naomba kuuliza ili nisajiriwe hapo chuon ni lazima niwe na chet original cha form six au hata nikiwa na result slip yatosha.
nilimaliza mwaka jana six.

mkuu result slip kama wewe mhitimu wa mwaka 2014
 
Ww upo hapo baba?? Vp kubadr program hawazingui?
 
Back
Top Bottom