Usajili Tanzania: Yanga SC yamuomba Mshambuaji Adam Salamba wa Lipuli FC

Usajili Tanzania: Yanga SC yamuomba Mshambuaji Adam Salamba wa Lipuli FC

Hivi wana tatizo na Straika kwa sasa. Naona wangejikita na kulipa mishahara kwa walikuwa nao..
[emoji196] [emoji196]
Ngoma,tambwe,chirwa,emanuel Martin,...sio wachezaji wabaya,si wamalizane halafu waingie uwanjani,au wanataka kuwatema mazima
 
Tatizo LA Simba na Yanga pakitokea mchezaji akiifunga moja ya timu basis huyo ni wakumsajili wapi alipo Atanasi, Busungu au Nonga?
Yanga wapate forward waakili toka nje ya nchi ambaye anauwezo mkubwa kama Tshishimbi waachane na Tabwe Ngoma hata Kamusoko
Huyo foward atalipwa nini?
 
Back
Top Bottom