Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Ulikuwq ni usajili wa aina yake sana. Zahera sijui alifikiria nini?Usajili wa Haruna Moshi kwenda Yanga
Hahaha ngoja tusubirie hizi sajili za Wabrazil wa Simba msimu utakapoanzaJaja kwenda yanga wakati ata maji maji awezi sajiriwa
Dah kwel kamanda, PSG walifikiria kitu gani sijui?Choupo Moting kutoka kushuka daraja na Stoke mpaka PSG
Sir Alex aliwahi kukiri kuwa alimsajili Bebe bila hata ya kuangalia perfomance yake.bebe to manchester united
Taifa Stars nayo ni UMISETA?USAJILI WA FEI TOTO KWENDA YANGA ILIHALI KIWANGO CHAKE NI CHA KUSHINDANIA NAMBA TEAM ZA UMISETA
Usajili wa hovyo kabisa uleUsajili wa wale Wauza matikiti wa Brazil kwenda kucheza mpira Pikipiki fc
Ha haaa haaaaaaaaaa.....Usajili wa wale Wauza matikiti wa Brazil kwenda kucheza mpira Pikipiki fc