Usajili Upi Uliwahi Kukushangaza?

Tz tunawastaafisha wachezaji wetu mapema kwa majungu na unafiki sana,mfano ni kaseja
 
Neimar kwenda PSG tena kwa hela nyingi isiyoendana na kiwango chake/Spana mkononi

Pogba kwenda Man u kwa wakati ule hela nyingi sana isiyoenda na kiwango chake...japo juve alikuwa on fire

Prince boateng kuja Barca...

Wabrazili waliosajiliwa simba, mmeuziwa mbuzi kwenye gunia...kweli mmepigwa ile mbaya..poleni sana...


Lavezi, Tevez, Oscar, Nicolas Gaitan,Yannick carrasco Mascherano, etoo kwenda china.

Ibrahimovic kwenda marekani
 
Usajili Wa Berbatov kwenda Man U ulikuwa ni aina ya uharamia. Ferguson alionyesha ujambazi wake na hadi Leo ile stori sijawahi ielewa vizuri hivyo natumia nafasi hii kuomba anayeweza kuelezea vema kilichotokea siku hiyo afanye hivyo.

Van Gaal alipozuia usajili Wa De Gea kwenda Madrid kwa kisingizio cha Fax Machine,mana nililala nikiamini De Gea amesaini Madrid cz hadi vipimo alifanyiwa nikaamka dirisha la usajili lishafungwa na De Gea ni mchezaji Wa Man U.
 


Falcao, Torres, Demba Ba na Morata kwenda Chelsea!

Maguire, Lukaku, Sanchez kwenda Man United!

Fabregas, Henry, Kelvin Prince Boateng, Alex Song kwenda Barcelona.

Haruna Niyonzima, Hamis Kiiza, Deo Kanda kwenda Simba Sports Club
 
Erick Djembadjemba (sijui hata jina lake linavyoandikwa) kwenda Man U

Michel Owen kwenda Man U

Michael Sylvester Kwenda Arsenal

Jonathan Woodgate kwenda Real Madrid

Ferigie kutunyima (liver) Gabriel Henzi na kumuuza Madrid kwa bei rahisi

Jaap Stan kwenda AC Milan, sikutarajia kabisa

Arsernal kumuuza Patrick viera juve

Madrid kumuuza Fernando Redondo AC Milan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…