PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,437
Neymar kwenda Psg
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tz tunawastaafisha wachezaji wetu mapema kwa majungu na unafiki sana,mfano ni kasejaKitendo cha Ramadhani Singano kusajiliwa TP Mazembe baada ya kutemwa na Azam Fc, wengi wameshtushwa na usajili huo. Kuna wanaoamini kuwa TP Mazembe imefulia. Haina tena nguvu ya pesa kama miaka ile.
Sasa leo tukumbushane baadhi ya sajili zilizoishtua na kuishangaza Dunia ya soka. Yaani ni zile sajili ambazo hazikuwahi kufikiriwa kama zinaweza kutokea.
Tuanze sasa...
Vp shaqiri to Liverpool??Choupo Moting kutoka kushuka daraja na Stoke mpaka PSG
Huo sikushangaa sana kwasababu jamaa uko nyuma alishacheza vilabu vikubwa kama bayern na interVp shaqiri to Liverpool??
Unaonaje mkuu usajili wa Hao BraziliansHahaha ngoja tusubirie hizi sajili za Wabrazil wa Simba msimu utakapoanza
Simba wamepigwaUnaonaje mkuu usajili wa Hao Brazilians
Kaka aturol Vidal alikuwa jembe sana basi tu mambo ya soccer sijui alifanya mini kule buyernAturol Vidal to Barcelona ?
Yaani nashangaa aina ya mpira wake angekuja EnglandKaka aturol Vidal alikuwa jembe sana basi tu mambo ya soccer sijui alifanya mini kule buyern
Kitendo cha Ramadhani Singano kusajiliwa TP Mazembe baada ya kutemwa na Azam Fc, wengi wameshtushwa na usajili huo. Kuna wanaoamini kuwa TP Mazembe imefulia. Haina tena nguvu ya pesa kama miaka ile.
Sasa leo tukumbushane baadhi ya sajili zilizoishtua na kuishangaza Dunia ya soka. Yaani ni zile sajili ambazo hazikuwahi kufikiriwa kama zinaweza kutokea.
Tuanze sasa...