OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kwani Mpole sio bora zaidi ya Mayele?Mkuu wakati mwingine uwe na subira,mwanzo wa msimu uliopita ulisema takwimu za Mayele na Kibu D zinatia shaka(hapa uliegemea kuwa Mpole ni bora kuliko Mayele).Lakini kilichotokea wote tumekiona mwisho wa msimu nani amekua bora,hivyo tumpe mda anaweza kuwa flop huko alipotoka lakini akifika hapa akawa na msimu mzuri ukaukimbia Uzi wako.
[emoji3578]Anyway nilianza kupenda mpira kabla ya timu,hvo mda utaongea zaidi
Sasa si ilijulikana kabisa toka mwanzo mayele Hana chochote kwa mpoleMkuu wakati mwingine uwe na subira,mwanzo wa msimu uliopita ulisema takwimu za Mayele na Kibu D zinatia shaka(hapa uliegemea kuwa Mpole ni bora kuliko Mayele)...
Mayele kaambulia soksi mwenzake kapata kiatuSasa si ilijulikana kabisa toka mwanzo mayele Hana chochote kwa mpole
Ni hatari anafunga hata akiwa bench huko Ghana wanalia nchi imezizima kuondokewa na shambuliaji la duniaHuyu jamaa kila game lazima akuweke, akikukosa basi game ijayo hata ukatambike huchomoki!.
Mpole hapa kaingiaje?, kwenye komenti yangu Kuna sehem nmemtaja?Kwani Mpole sio bora zaidi ya Mayele?
Hivi Kuna sehem nmemtajaSasa si ilijulikana kabisa toka mwanzo mayele Hana chochote kwa mpole
Hawa jamaa tunatakiwa tu kuwazoea.
Sana tena,maana hawana jipyaHawa jamaa tunatakiwa tu kuwazoea.
jifunze kuupenda mpira kabla ya timu, jifunze kujipa muda na kuacha muda uamue.
Simba na yanga wamefanya sajili nyingi sana zilizoonekana kua tishio, Lakini mwisho wa siku wachezaji wakaja kua flop.
Mifano ni mingi sana kama vile:
Dan Sserunkuma.
Laudit Mavugo..,
Pape ndaw.
Dunccan nyoni..
Mifano ni mingi sana master..
Acha muda uamue.
Kuna wakati ni vyema kuwa na subira uone ni kipi mchezaji ata offer uwanjani. Msimu uliopita ilikuwa hivi hivi mashabiki wakawa na mategemeo makubwa sana kwa waliosajiliwa Ducan nyoni, Banda, Sakho, huku Yanga ikibezwa kuwa wamesajili bendi ya muziki kazi kucheza dance na kujichubua lakini mwisho wa siku waliokuwa na matarajio makubwa wakaambulia kombe la bonanza pekee. Yanga ilipomsajili sureboy watu waliponda sana ila matokeo yake uwanjani ukaonekana. Usajili unaweza kulipa au usilipe haijalishi una mchezaji mwenye profile kubwa kiasi gani
Kwa usajili wa simba mwaka jana labda mashabik ambao wagumu kukubal ukwel lkn wengi walijua hawajafanya usajili mzur ndio maana mwaka jana viongoz wa simba akina magoli walitumia nguvu kubwa kuaminisha mashabik wamesajili vzur lkn ukwel haukua ivyo wapo wengi walijua wamefel ilikua kujipa moyo tu tumesajili vijana mara iv lkn kwa jicho la kawaida simba msimu uliopita walipata walichostahili , kwanza walikua na timu uliyoanza kuchoka wachezaj wengi viwango vilishuka kutokana na umr ama majeruhi au mpira tu ,na bado wakafanya kosa hawakusajili kwa kuzingatia mahitaji ya timu ,kama watarudia tena basi sitoshangaa msimu pia kurudia aya ayaKuna wakati ni vyema kuwa na subira uone ni kipi mchezaji ata offer uwanjani. Msimu uliopita ilikuwa hivi hivi mashabiki wakawa na mategemeo makubwa sana kwa waliosajiliwa Ducan nyoni, Banda, Sakho, huku Yanga ikibezwa kuwa wamesajili bendi ya muziki kazi kucheza dance na kujichubua lakini mwisho wa siku waliokuwa na matarajio makubwa wakaambulia kombe la bonanza pekee. Yanga ilipomsajili sureboy watu waliponda sana ila matokeo yake uwanjani ukaonekana. Usajili unaweza kulipa au usilipe haijalishi una mchezaji mwenye profile kubwa kiasi gani
Fungua makaburi utaona namna watu jukwaani walivyojisifia timu na huku Yanga ikipondwa.Kwa usajili wa simba mwaka jana labda mashabik ambao wagumu kukubal ukwel lkn wengi walijua hawajafanya usajili mzur ndio maana mwaka jana viongoz wa simba akina magoli walitumia nguvu kubwa kuaminisha mashabik wamesajili vzur lkn ukwel haukua ivyo wapo wengi walijua wamefel ilikua kujipa moyo tu tumesajili vijana mara iv lkn kwa jicho la kawaida simba msimu uliopita walipata walichostahili , kwanza walikua na timu uliyoanza kuchoka wachezaj wengi viwango vilishuka kutokana na umr ama majeruhi au mpira tu ,na bado wakafanya kosa hawakusajili kwa kuzingatia mahitaji ya timu ,kama watarudia tena basi sitoshangaa msimu pia kurudia aya aya