Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamtaja namba mbili wakati yupo namba moja, unajisahaulisha makusudi sio?Mpole hapa kaingiaje?, kwenye komenti yangu Kuna sehem nmemtaja?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikiona hii nashindwa kujizuia, nacheka km chiziiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Pablo Martin amesomea ukocha wa kushusha viwango vya timu atakayofundisha.
Simba wana machale ya hali juu, wangembakiza tu wangejikuta championship baada ya msimu huu