Usajili wa Chama kwenda Yanga -Yanga hamueleweki, sijui mna shida gani!

denoo JG

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2023
Posts
2,701
Reaction score
9,759
Salaam Wakuu..

Nashangazwa na hizi kelele za midundiko na kukata viuno tunazopigiwa na wajuaji wa mitaa ya Twiga na Jangwani pale Kariakoo.

Hawa wanashangilia leo kumsajili Chama, yule yule ambaye miaka yote walikuwa wakituaminisha ni mchezaji wa mechi ndogo.

Ina maana huyu Chawa amegeuka ghafla kuwa mchezaji wa mechi kubwa baada ya kuhamia kwao?

Huyu Chama waliyekuwa wakituambia kila siku hana nguvu, leo amezipata hizo nguvu baada ya kuhamia Jangwani?

Nawashauri mtulie, mjitafakari vizuri mkijiuliza mko sawa kichwani?

Tukutane uwanjani na huyo Chama wenu mpya ili tuone kama atakuwa na nguvu za ghafla, na atgeuka kuwa mchezaji wa mechi kubwa ghafla.
 
Kwa hio Simba hamtaki kuendelea kumwita "Mwamba wa Lusaka"?
 
soka la bongo bhana😂😂😂 studio tupe vitu tupe vitu
 
Salaam Wakuu..

Nashangazwa na hizi kelele za midundiko na kukata viuno tunazopigiwa na wajuaji wa mitaa ya Twiga na Jangwani pale Kariakoo.

Hawa wanashangilia leo kumsajili Chama, yule yule ambaye miaka yote walikuwa wakituaminisha ni mchezaji wa mechi ndogo.

Ina maana huyu Chawa amegeuka ghafla kuwa mchezaji wa mechi kubwa baada ya kuhamia kwao?

Huyu Chama waliyekuwa wakituambia kila siku hana nguvu, leo amezipata hizo nguvu baada ya kuhamia Jangwani?

Nawashauri mtulie, mjitafakari vizuri mkijiuliza mko sawa kichwani?

Tukutane uwanjani na huyo Chama wenu mpya ili tuone kama atakuwa na nguvu za ghafla, na atgeuka kuwa mchezaji wa mechi kubwa ghafla.
Leo hio amekua Chama wenu.
 
Mtazamo wa mashabiki wengi wa Yanga nikiwemo mimi, hautabadilika kamwe! Chama amesajiliwa na viongozi + benchi la ufundi. Na hajasajiliwa na sisi mashabiki wa humu jukwaani.

Kwa hiyo akifanikiwa kuwa msaada katika timu yake mpya, atapongezwa na kusifiwa na kila mtu! Tukiwemo hata sisi ambao tunamuona kama umri umeanza kumtupa. Ila ikitokea akawa mzigo! Shutuma zitamuandama mwanzo mwisho.
 
Comments reserved
 
Nimekuelewa Tate Mkuu waeleweshe na wenzako sasa.
 
Salaam Wakuu..

Nashangazwa na hizi kelele za midundiko na kukata viuno tunazopigiwa na wajuaji wa mitaa ya Twiga na Jangwani pale Kariakoo.

Hawa wanashangilia leo kumsajili Chama, yule yule ambaye miaka yote walikuwa wakituaminisha ni mchezaji wa mechi ndogo.

Ina maana huyu Chawa amegeuka ghafla kuwa mchezaji wa mechi kubwa baada ya kuhamia kwao?

Huyu Chama waliyekuwa wakituambia kila siku hana nguvu, leo amezipata hizo nguvu baada ya kuhamia Jangwani?

Nawashauri mtulie, mjitafakari vizuri mkijiuliza mko sawa kichwani?

Tukutane uwanjani na huyo Chama wenu mpya ili tuone kama atakuwa na nguvu za ghafla, na atgeuka kuwa mchezaji wa mechi kubwa ghafla.
Business strategy hio ww,
 
Back
Top Bottom