ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Usajili wa Chama sikuufurahia.
Wachezaji Aziz ki na Pacome, wanacheza Kwa pressure na hofu maana wanaogopa jina la Chama.
Walianza wanacheza Kwa bidii ya kupitilia na ku panic kuishia kufanya maamzi ya ovyo na kubutua ovyo.
Maana wanataka kumwaminisha Coach kuwa wao ni Bora kuliko Chama aliyeingia.
Ni sawa na Madrid Toka asajiliwe Mbape Rodrigo, Belingum na vini hawafanyi vizuri, maana wana pressure. Ya kumwaminisha Coach.
Nadhani Coach Gamond akae nao aongee nao awaweke sawa kisaikolojia tu.
Au amtoe Chama dirisha dogo.
Ili AziZ na Pacome watoe the best walicho nacho ila akibaki Yanga itacheza ovyo.