Usajili wa Chama unaathiri sana ya kiwango cha Azizi Ki na Pacome

Usajili wa Chama unaathiri sana ya kiwango cha Azizi Ki na Pacome

Kwani Chama jukumu lake ni nini?.kwani hao kina Azizk na pacome kazi yao ni kufunga? Unavyosema wanabutua tuu...
 
Attachments

  • downloadfile-2.jpg
    downloadfile-2.jpg
    132.6 KB · Views: 1
Usajili wa Chama sikuufurahia.

Wachezaji Aziz ki na Pacome, wanacheza Kwa pressure na hofu maana wanaogopa jina la Chama.

Walianza wanacheza Kwa bidii ya kupitilia na ku panic kuishia kufanya maamzi ya ovyo na kubutua ovyo.
Maana wanataka kumwaminisha Coach kuwa wao ni Bora kuliko Chama aliyeingia.

Ni sawa na Madrid Toka asajiliwe Mbape Rodrigo, Belingum na vini hawafanyi vizuri, maana wana pressure. Ya kumwaminisha Coach.

Nadhani Coach Gamond akae nao aongee nao awaweke sawa kisaikolojia tu.

Au amtoe Chama dirisha dogo.

Ili AziZ na Pacome watoe the best walicho nacho ila akibaki Yanga itacheza ovyo.
Izingatiwe.
 
Pacome amekuwa kama kisinda anakimbia tuuu mwisho aupo!! Azizi k ni tapeli tu kama walivyowachezaj wa wezt africa wakushapata mikataba mipya
 
Azizi k ni tapeli tu kama walivyowachezaj wa wezt africa wakushapata mikataba mipya
Sio ukweli hata wewe kuna siku kazini kunakua kubaya sio kila siku jumapili, kule kuna timu inafungwa Mane yupo ndani Ronarldo yupo ndani na wachezaji wengine mastaa na Ronarldo anausaka mpira kwa tochi, mpira unadunda
 
Naheshimu mawazo yako mkuu
 
Yanga ni kama Madrid tu kajaza mastaa kipaooo ila mpira unaochezwa kawaidaa sana wanazidiwa na Arsenal.
 
Back
Top Bottom