Wachambuzi mna nongwa na Max je?? Maana nae kiwango chake siku za karibuni sio kizuri nae Chama anampa presha??Tazama performance ya hawa vijana kama hawana amani na utulivu
Wanaona ufalme wao unachukuliwa
Nimekuja mfano pale Madrid wachezaji wengi wanacheza ovyoWachambuzi mna nongwa na Max je?? Maana nae kiwango chake siku za karibuni sio kizuri nae Chama anampa presha??
Aucho nae anapoteza sana pasi ni Chama huyo sio??
Ila sio mbaya, hii mada na mimi nitaipeleka kijiweni ili nipate cha kuzungumza tusogeze siku.
Wakati wa mechi yenu na CBE huo utulivu na amani vilikuwepo au havikuwepo?Tazama performance ya hawa vijana kama hawana amani na utulivu
Wanaona ufalme wao unachukuliwa
Yaani.....Acheni utoto wa kijinga kumsingizia Chama, mbona mlipocheza na wale watoto wa chuo jina la Chama halikuongelewa kwa namna hii?
Tuanzie hapo...Wakati wa mechi yenu na CBE huo utulivu na amani vilikuwepo au havikuwepo?
Usajili wa Chama sikuufurahia
Wachezaji Aziz ki na Pacome, wanacheza Kwa pressure na hofu maana wanaogopa jina la Chama
Walianza wanacheza Kwa bidii ya kupitilia na ku panic kuishia kufanya maamzi ya ovyo na kubutua ovyo.
Maana wanataka kumwaminisha Coach kuwa wao ni Bora kuliko Chama aliyeingia
Ni sawa na Madrid Toka asajiliwe Mbape Rodrigo, Belingum na vini hawafanyi vizuri, maana wana pressure. Ya kumwaminisha Coach
Nadhani Coach Gamond akae nao aongee nao awaweke sawa kisaikolojia tu
Au amtoe Chama dirisha dogo.
Ili AziZ na Pacome watoe the best walicho nacho ila akibaki Yanga itacheza o