S suk New Member Joined May 20, 2015 Posts 4 Reaction score 0 Jun 29, 2015 #1 Ndugu wenzangu, naomba kujuzwa jinsi ya kufahamu kama chuo kimesajiliwa na NACTE au hamna. Kuna chuo kinataka kutoa diploma ya elimu kinaitwa King Rumanyika kiko Bukoba. Naomba kujua kama kina usajili.
Ndugu wenzangu, naomba kujuzwa jinsi ya kufahamu kama chuo kimesajiliwa na NACTE au hamna. Kuna chuo kinataka kutoa diploma ya elimu kinaitwa King Rumanyika kiko Bukoba. Naomba kujua kama kina usajili.