Usajili wa chuo

Usajili wa chuo

suk

New Member
Joined
May 20, 2015
Posts
4
Reaction score
0
Ndugu wenzangu, naomba kujuzwa jinsi ya kufahamu kama chuo kimesajiliwa na NACTE au hamna. Kuna chuo kinataka kutoa diploma ya elimu kinaitwa King Rumanyika kiko Bukoba. Naomba kujua kama kina usajili.
 
Back
Top Bottom