Usajili Wa Feisal na Mabululu ni Danganya toto kama mlivyodanganywa kwa Manzoki

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
11,297
Reaction score
14,588
Mashabiki Wa timu yangu ya Simba SC ni kama kifaranga Cha kuku, Kila siku siku kinaambiwa kitanyonya kesho mpaka kinakua"

Tuliyaona Ya Manzoki na kwenye mkutano alikuja kabisa mbele ya media na Viongozi tena kwenye mkutano mkuu bila ya uoga Manzoki alitamka atakuja Simba SC kukiwasha,

Haikua hivyo kabisa Kumbe ulikua ni ujanja Wa Mangungu ili apate kura akae kwenye kiti, mbaya zaidi hakuja kutuomba radhi Mashabiki na alikua kabisa Kuwa alitudamganya hadharani bila ya uoga,

Sasa kuna propaganda zinasambaa kumuhusu Mabululu na Feisal kwa Wenye akili kubwa kama Mimi, tayali tumekwisha elewa Kuwa ni janja janja za kuwapoza mashiki uchungu na kiu ya kutopata kombe hata la kufutia machozi kwa muda mrefu,

Ukweli usemwe timu yangu Simba SC Haina uwezo Wa kumsajili Feisal na Mabululu huo ndiyo ukweli full stop.
 
Attachments

  • Screenshot_20250509-220102.jpg
    Screenshot_20250509-220102.jpg
    241.1 KB · Views: 44
Mashabiki na wanachama wa hiyo timu wengi wao ni mbumbumbu, na pia wana tabia kama ile ya ndege aina ya kasuku. Mwenyekiti wao wa zamani Ismail Aden Rage anatakiwa kujengewa mnara wa kumbukumbu kwa kuwa mtu wa kwanza kuwagundua.
 
Nani atawasajili?

Au ndo yule tapeli wao wa kihaya aliyeingia nao mkataba wa kichifu mangungo wa msovero?
 
Mashabiki Wa timu yangu ya Simba SC ni kama kifaranga Cha kuku, Kila siku siku kinaambiwa kitanyonya kesho mpaka kinakua"

Tuliyaona Ya Manzoki na kwenye mkutano alikuja kabisa mbele ya media na Viongozi tena kwenye mkutano mkuu bila ya uoga Manzoki alitamka atakuja Simba SC kukiwasha,

Haikua hivyo kabisa Kumbe ulikua ni ujanja Wa Mangungu ili apate kura akae kwenye kiti, mbaya zaidi hakuja kutuomba radhi Mashabiki na alikua kabisa Kuwa alitudamganya hadharani bila ya uoga,

Sasa kuna propaganda zinasambaa kumuhusu Mabululu na Feisal kwa Wenye akili kubwa kama Mimi, tayali tumekwisha elewa Kuwa ni janja janja za kuwapoza mashiki uchungu na kiu ya kutopata kombe hata la kufutia machozi kwa muda mrefu,

Ukweli usemwe timu yangu Simba SC Haina uwezo Wa kumsajili Feisal na Mabululu huo ndiyo ukweli full stop.
Mlivyokuwa mnamtukana feisal na mama yake mpaka mama samia akaingilia kati hawezi kurudi yanga yule hata siku moja.
 
Hatuchezi fc
IMG_20250508_222005.JPG
 
Vp yusuph Kagoma??maana behind mwiko mliitangaza amesaini na mchezaji wenu.
Au Ile kauli ya wenye akili ni wawili tuu inaendelea kudhihirika?
 
Kipindi kile hakuna aliejifyatua kwenda CAS kushitaki Kagoma
 
Mashabiki Wa timu yangu ya Simba SC ni kama kifaranga Cha kuku, Kila siku siku kinaambiwa kitanyonya kesho mpaka kinakua"

Tuliyaona Ya Manzoki na kwenye mkutano alikuja kabisa mbele ya media na Viongozi tena kwenye mkutano mkuu bila ya uoga Manzoki alitamka atakuja Simba SC kukiwasha,

Haikua hivyo kabisa Kumbe ulikua ni ujanja Wa Mangungu ili apate kura akae kwenye kiti, mbaya zaidi hakuja kutuomba radhi Mashabiki na alikua kabisa Kuwa alitudamganya hadharani bila ya uoga,

Sasa kuna propaganda zinasambaa kumuhusu Mabululu na Feisal kwa Wenye akili kubwa kama Mimi, tayali tumekwisha elewa Kuwa ni janja janja za kuwapoza mashiki uchungu na kiu ya kutopata kombe hata la kufutia machozi kwa muda mrefu,

Ukweli usemwe timu yangu Simba SC Haina uwezo Wa kumsajili Feisal na Mabululu huo ndiyo ukweli full stop.
Zinasambaa huko Jangwani?.
 
Mlivyokuwa mnamtukana feisal na mama yake mpaka mama samia akaingilia kati hawezi kurudi yanga yule hata siku moja.
Arudi ili wale matapishi yao kwa kumpa mshahara mkubwa zaidi
 
Back
Top Bottom