NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,588
Mlivyokuwa mnamtukana feisal na mama yake mpaka mama samia akaingilia kati hawezi kurudi yanga yule hata siku moja.Mashabiki Wa timu yangu ya Simba SC ni kama kifaranga Cha kuku, Kila siku siku kinaambiwa kitanyonya kesho mpaka kinakua"
Tuliyaona Ya Manzoki na kwenye mkutano alikuja kabisa mbele ya media na Viongozi tena kwenye mkutano mkuu bila ya uoga Manzoki alitamka atakuja Simba SC kukiwasha,
Haikua hivyo kabisa Kumbe ulikua ni ujanja Wa Mangungu ili apate kura akae kwenye kiti, mbaya zaidi hakuja kutuomba radhi Mashabiki na alikua kabisa Kuwa alitudamganya hadharani bila ya uoga,
Sasa kuna propaganda zinasambaa kumuhusu Mabululu na Feisal kwa Wenye akili kubwa kama Mimi, tayali tumekwisha elewa Kuwa ni janja janja za kuwapoza mashiki uchungu na kiu ya kutopata kombe hata la kufutia machozi kwa muda mrefu,
Ukweli usemwe timu yangu Simba SC Haina uwezo Wa kumsajili Feisal na Mabululu huo ndiyo ukweli full stop.
Hatuchezi fcMashabiki Wa timu yangu ya Simba SC ni kama kifaranga Cha kuku, Kila siku siku kinaambiwa kitanyonya kesho mpaka kinakua"
Tuliyaona Ya Manzoki na kwenye mkutano alikuja kabisa mbele ya media na Viongozi tena kwenye mkutano mkuu bila ya uoga Manzoki alitamka atakuja Simba SC kukiwasha,
Haikua hivyo kabisa Kumbe ulikua ni ujanja Wa Mangungu ili apate kura akae kwenye kiti, mbaya zaidi hakuja kutuomba radhi Mashabiki na alikua kabisa Kuwa alitudamganya hadharani bila ya uoga,
Sasa kuna propaganda zinasambaa kumuhusu Mabululu na Feisal kwa Wenye akili kubwa kama Mimi, tayali tumekwisha elewa Kuwa ni janja janja za kuwapoza mashiki uchungu na kiu ya kutopata kombe hata la kufutia machozi kwa muda mrefu,
Ukweli usemwe timu yangu Simba SC Haina uwezo Wa kumsajili Feisal na Mabululu huo ndiyo ukweli full stop.
HOVYOOOOHatuchezi fc
View attachment 3330041
Vp yusuph Kagoma??maana behind mwiko mliitangaza amesaini na mchezaji wenu.Mashabiki Wa timu yangu ya Simba SC ni kama kifaranga Cha kuku, Kila siku siku kinaambiwa kitanyonya kesho mpaka kinakua"
Tuliyaona Ya Manzoki na kwenye mkutano alikuja kabisa mbele ya media na Viongozi tena kwenye mkutano mkuu bila ya uoga Manzoki alitamka atakuja Simba SC kukiwasha,
Haikua hivyo kabisa Kumbe ulikua ni ujanja Wa Mangungu ili apate kura akae kwenye kiti, mbaya zaidi hakuja kutuomba radhi Mashabiki na alikua kabisa Kuwa alitudamganya hadharani bila ya uoga,
Sasa kuna propaganda zinasambaa kumuhusu Mabululu na Feisal kwa Wenye akili kubwa kama Mimi, tayali tumekwisha elewa Kuwa ni janja janja za kuwapoza mashiki uchungu na kiu ya kutopata kombe hata la kufutia machozi kwa muda mrefu,
Ukweli usemwe timu yangu Simba SC Haina uwezo Wa kumsajili Feisal na Mabululu huo ndiyo ukweli full stop.
Kipindi kile hakuna aliejifyatua kwenda CAS kushitaki KagomaVp yusuph Kagoma??maana behind mwiko mliitangaza amesaini na mchezaji wenu.
Au Ile kauli ya wenye akili ni wawili tuu inaendelea kudhihirika?
Zinasambaa huko Jangwani?.Mashabiki Wa timu yangu ya Simba SC ni kama kifaranga Cha kuku, Kila siku siku kinaambiwa kitanyonya kesho mpaka kinakua"
Tuliyaona Ya Manzoki na kwenye mkutano alikuja kabisa mbele ya media na Viongozi tena kwenye mkutano mkuu bila ya uoga Manzoki alitamka atakuja Simba SC kukiwasha,
Haikua hivyo kabisa Kumbe ulikua ni ujanja Wa Mangungu ili apate kura akae kwenye kiti, mbaya zaidi hakuja kutuomba radhi Mashabiki na alikua kabisa Kuwa alitudamganya hadharani bila ya uoga,
Sasa kuna propaganda zinasambaa kumuhusu Mabululu na Feisal kwa Wenye akili kubwa kama Mimi, tayali tumekwisha elewa Kuwa ni janja janja za kuwapoza mashiki uchungu na kiu ya kutopata kombe hata la kufutia machozi kwa muda mrefu,
Ukweli usemwe timu yangu Simba SC Haina uwezo Wa kumsajili Feisal na Mabululu huo ndiyo ukweli full stop.
Arudi ili wale matapishi yao kwa kumpa mshahara mkubwa zaidiMlivyokuwa mnamtukana feisal na mama yake mpaka mama samia akaingilia kati hawezi kurudi yanga yule hata siku moja.
kweli kabisaMtawehuka mwaka huu,heri mbakie na hatuchezi kuliko hayo mambo yote kwa pamoja
kweli kabisaNdugu zangu naomba mkifanikiwa msiache kusaidia yatima.