Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku navojua unaweza jua tu kama gari inadaiwa road licence basi. Kufanya ownershp verification mpaka tra.Habari za leo wajameni. Hivi kuna njia ya kujua mmiliki wa gari fulani kwa kutumia namba ya gari ? Najua nchi zingine unaweza kufanya hivyo online. Huku kwetu vipi ?
Hiyo njia ya kuangalia kwa online ilikuwepo..juz juzi nikaisikia imetolewaHabari za leo wajameni. Hivi kuna njia ya kujua mmiliki wa gari fulani kwa kutumia namba ya gari ? Najua nchi zingine unaweza kufanya hivyo online. Huku kwetu vipi ?