Usajili wa kampuni na biashara nyingine

Usajili wa kampuni na biashara nyingine

KAPIRIPIRI

Member
Joined
May 24, 2011
Posts
31
Reaction score
9
Kama unataka kusajili kampuni yako kwa haraka na bila usumbufu, wasiliana na RMJ & CO. LTD tukuandalie makablasha yanayohitajika yakiwa ni pamoja na Memorandum na Articles of Association, kuyapeleka BRELA na kukuhakikishia upatikanaji wa hati ya usajili ndani ya wiki moja. Fika ofisini kwetu Mandela Road - Opposite na Mabibo Hostel, Dar au tupigie kupitia 0714784154/0753784154
 
Mkuu weka na bei kabisa na ishu za trust make kwa mtu akiwa mkoani inakuwaje? ishu ya uaminifu ni muhimu sana
 
Kama unataka kusajili kampuni yako kwa haraka na bila usumbufu, wasiliana na RMJ & CO. LTD tukuandalie makablasha yanayohitajika yakiwa ni pamoja na Memorandum na Articles of Association, kuyapeleka BRELA na kukuhakikishia upatikanaji wa hati ya usajili ndani ya wiki moja. Fika ofisini kwetu Mandela Road - Opposite na Mabibo Hostel, Dar au tupigie kupitia 0714784154/0753784154

Nikienda TRA kupata TIN number baada ya kufungua account bank na kuwa na ofisi haitoshi kusajili kampuni yangu moja kwa moja serikalini, ila mpaka niwapitie ninyi ndo nipate green lights?
 
Nawasihi sana wote wenye maswali wafike ofisini au tuwasiliane kupitia namba nilizoweka hapo juu. Hakuna malipo yoyote kwa maswali au ushauri
 
Mkuu wewe jibu maswali huku, mtu anaishi Musoma apande Basi hadi Dar kuja kuuliza Maswali?
 
Back
Top Bottom