KAPIRIPIRI
Member
- May 24, 2011
- 31
- 9
Ili kusajili kampuni yako kwa muda mfupi bila usumbufu, wasiliana na RMJ & CO.LTD kupitia 0714784154 au 0753784154
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BRELA ndio kuna matapeli manake kusearch jina la kampuni tu lazima utoe chochote ,ukijfanya unasearch kwenye website yao itakula kwako!!!ukijifanya unafuata utaratibu sijui wa kujaza fomu utakesha...ila ukitaka mambo yaende vizuri tumia kampuni wakala ambazo zina wanasheria pia...Utapeli, kampuni zinasajiliwa brela na hawana tawi sehemu yoyote. Acha utapeli maramoja la sivyo brela tutakuchukulia hatua.