Usajili wa kampuni

Usajili wa kampuni

KAPIRIPIRI

Member
Joined
May 24, 2011
Posts
31
Reaction score
9
Ili kusajili kampuni yako kwa muda mfupi bila usumbufu, wasiliana na RMJ & CO.LTD kupitia 0714784154 au 0753784154
 
Utapeli, kampuni zinasajiliwa brela na hawana tawi sehemu yoyote. Acha utapeli maramoja la sivyo brela tutakuchukulia hatua.
 
Ndg. MKULIMA WA KAWAIDA
Nakuomba kwanza upunguze kidogo, jazba fanya tafiti kabla ya kutoa tuhuma ambazo ni senseless.
Ungekuwa mtu makini ungefanya utafiti. Kazi hii sio tumeianza jana tuna muda mrefu, ungekuwa mmoja wa wale ambao wamepata huduma zetu then ukaja na tuhuma hizo ningekuelewa.
Cha msingi zaidi, hakuna sehemu yeyote nimesema tunasajili kampuni, kila mwenye akili na aliyeamua kufungua kampuni anjua kwamba brela tu ndo wanasajili. Sisis ni kampuni ya uwakala, tunatoa huduma ya kuhakikisha muhusika anapata mahitaji husika kabla ya kwenda Brela ikiwemo memorundum, articles of association, kuithinishwa kwa document na wanasheria.Haya ni mambo ya kitaalamu ambayo huendi kupewa mezani na Mkurugenzi wa Brela. Jitahidi kufanya utafiti kabla hujatuhumu
 
Ndg. MKULIMA WA KAWAIDA
Nakuomba kwanza upunguze jazba fanya tafiti kabla ya kutoa tuhuma ambazo ni senseless.
Ungekuwa mtu makini ungefanya utafiti. Kazi hii sio tumeianza jana, ungekuwa mmoja wa wale ambao wamepata huduma zetu then ukaja na tuhuma hizo ningekuelewa.
Cha msingi zaidi, hakuna sehemu yeyote nimesema tunasajili kampuni, kila mwenye akili na aliyeamua kufungua kampuni anajua kwamba brela tu ndo wanasajili. Sisi ni kampuni ya uwakala, tunatoa huduma ya kuhakikisha muhusika anapata mahitaji husika kabla ya kwenda Brela ikiwemo memorundum, articles of association, kuidhinishwa kwa documents na wanasheria.Haya ni mambo ya kitaalamu ambayo huendi kupewa mezani na Mkurugenzi wa Brela.
Kama wewe ni mfanyakazi wa brela na huyajui haya, basi utakuwa labda mfagizi.
 
Utapeli, kampuni zinasajiliwa brela na hawana tawi sehemu yoyote. Acha utapeli maramoja la sivyo brela tutakuchukulia hatua.
BRELA ndio kuna matapeli manake kusearch jina la kampuni tu lazima utoe chochote ,ukijfanya unasearch kwenye website yao itakula kwako!!!ukijifanya unafuata utaratibu sijui wa kujaza fomu utakesha...ila ukitaka mambo yaende vizuri tumia kampuni wakala ambazo zina wanasheria pia...
 
Back
Top Bottom