Ndg. MKULIMA WA KAWAIDA
Nakuomba kwanza upunguze kidogo, jazba fanya tafiti kabla ya kutoa tuhuma ambazo ni senseless.
Ungekuwa mtu makini ungefanya utafiti. Kazi hii sio tumeianza jana tuna muda mrefu, ungekuwa mmoja wa wale ambao wamepata huduma zetu then ukaja na tuhuma hizo ningekuelewa.
Cha msingi zaidi, hakuna sehemu yeyote nimesema tunasajili kampuni, kila mwenye akili na aliyeamua kufungua kampuni anjua kwamba brela tu ndo wanasajili. Sisis ni kampuni ya uwakala, tunatoa huduma ya kuhakikisha muhusika anapata mahitaji husika kabla ya kwenda Brela ikiwemo memorundum, articles of association, kuithinishwa kwa document na wanasheria.Haya ni mambo ya kitaalamu ambayo huendi kupewa mezani na Mkurugenzi wa Brela. Jitahidi kufanya utafiti kabla hujatuhumu