Usajili wa laini za uwakala

Mzee salum

Member
Joined
Dec 21, 2019
Posts
6
Reaction score
0
Habari ndungu zangu,

Naomba mnisaidie nina laini zangu za uwakala lakini sio kwa jina langu, je inawezekana nikapiga fingerprint na kuepuka kufungiwa?

Naombeni msaada wenu jamaa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kuna wengine wanabadirisha usajili kwa jina lako na kisha unakamilisha usajiri
 
inategemea mtandao gani...airtel na tigo wanakamilisha..ila voda hadi ufanye swap
 
Majina yaliopo kwenye kitambulisho chako cha nida ndio yatakayosajiliwa, yale yaliokuwepo mwanzoni yatajifuta yenyewe wakati wa kusajili na kuingia ya kwako ambayo yako kwenye kitambulisho cha nida kwa kuwa ndio yanayotambulika hivi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…