Usajili wa magari ya serikali umefikia “STN” kazi iendelee

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Leo nikiwa town katika mishemishe nakuta chuma ya serikali imepaki. Kucheki namba ni STN.

Nikajiuliza si ni juzi tu hapa STM ilianza? Ndio imejaa kwa kasi hivyo!

Serikali yetu inamiliki magari mengi na sasa usajili umefikia “STN” hii ni kasi zaidi ya 5G

 
Sasa unaficha namba ya nini! Ingekuwa mali ya mtu binafsi kweli.
 
Sasa unaficha namba ya nini! Ingekuwa mali ya mtu binafsi kweli.
Hajaficha namba ila yeye ameiokota huko mitandaoni na akaleta kama ilivyo ila anajipandisha ety amekutana nayo

🗑️
 
Kwanini magari yote ya serikali wasiandike plate namba jina "SAMIA"
au home boy Nyani Ngabu unasemaje mwanangu

Ova
 
KIZIMKAZI ndio anachoweza YY.
Sukari kilo 4800
Umeme hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…