Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Habari za Jumapili wanajamvi.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Huwa najiuliza kuwa kama ikifikia kipindi Tanzania ikauzwa kwa mwekezaji basi makabila yatasajiliwa ulaya kulingana na tamaduni, sifa na tabia zao. Mambo yatakuwa kama ifuatavyo.
Wachaga .... Marekani (Biashara, Ubepari, Kujuana n.k)
Wahaya.... Uingereza (Kujisikia, Ufahari, Kujenga miji ya watu)
Wasukuma ..... China (Kuzaliana, Kuchapa kazi, Ujamaa)
Wapare ..... Canada (Hawana tofauti na marekani ila wasiri sana)
Wakulya ..... Russia (Kujiamini, wanajeshi imara, Hawapendi unafiki)
Wazaramo ..... Thailand (Elimu kwao ziada, Tamaduni kibao)
Wadigo & Wazigua ... Hispania (Mapenzi, Mahaba, Limbwata)
Karibuni kwa maoni na makabila mengine tuyataje yatasajiliwa wapi