Usajili wa Miqquisone yalikuwa mapendekezo ya kocha au siasa za kucheza na akili za mashabiki?

Usajili wa Miqquisone yalikuwa mapendekezo ya kocha au siasa za kucheza na akili za mashabiki?

Micquson bado , namuona akikimbia kifadha tofauti na yule aliyekuwa anatafuta jina usajili wa mwanzo..( labda ni ile saikolojia tu kwamba ametoka ligi kubwa kurudi tena ligi ndogo hauikupi mzuka....

Sijaona hata assist ya maana kwake, zaidi tu anafumuwa mashuti angalau apate goli..
 
Sisi tunaojua mpira Tulisema zamani masikini na WAPUMBAVU wakaishia Kututukana na kutoa Lugha chafu....

Mtalia sana...
WENZENU tuliyaona yote hayo mapema sana
Ni wewe iliyetoa orodha ya mawinga kuwa wengi? Basi Una kitu usipuuzwe tena.
 
Back
Top Bottom