Micquson bado , namuona akikimbia kifadha tofauti na yule aliyekuwa anatafuta jina usajili wa mwanzo..( labda ni ile saikolojia tu kwamba ametoka ligi kubwa kurudi tena ligi ndogo hauikupi mzuka....
Sijaona hata assist ya maana kwake, zaidi tu anafumuwa mashuti angalau apate goli..