Usajili wa mpanzu ni kichekesho na hauna tija kwa simba iliyojichokea..

Usajili wa mpanzu ni kichekesho na hauna tija kwa simba iliyojichokea..

uliposema eti simba ina makipa sita..nikajua mnafiki tu wa yanga huko unataka uonekane umeanzisha hoja tena ya kichoko...we jamaa inama uchomoe huo mwiko nyuma..!
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Hizi ndiyo akili za mbumbumbu sasa kuwalipa ndiyo nini?

Akiondoka mmoja wanabaki watano wa nini?

Kweli Rage hakukosea kabisa
Ww unaumia ukiwa kama na nani? Kama sio visebengo vyenu..mbumbu ni kutokujua kitu..ila kama wao wanaowaacha wanajua kwanini wapo sioni sababu ya ww na uzuzu wenu kuingilia mipango yao..
 
Tupe umri halisi ya chama, mkude, mzize, musonda kabla ya kuja kwa mpanzu....
Kuna kipindi uto walimchukua bigirimana over 45 year, ntibazonkiza over 45 na tukawa kimya
Mkude 32 ambayo ni amezidiwa na shabalala mwenye 34 na kapombe 35

Chama 33 , ambayo amezidiwa na mzamiru mwenye 35 na mutale 34

Mzize bado dogo kabisa sio kama dogo lenu la mchongo Valentino mashaka aliyamaliza form four 2013 na ana miaka 19 sasa.

Sasa huho babu "ntombonkiza" simba alijileta au mlimleta?

Kweli mbumbumbu ni mbumbumbu tu
 
Ww unaumia ukiwa kama na nani? Kama sio visebengo vyenu..mbumbu ni kutokujua kitu..ila kama wao wanaowaacha wanajua kwanini wapo sioni sababu ya ww na uzuzu wenu kuingilia mipango yao..
Lazima tuwaambie ukweli sio kuingilia

Yaani uozo hatuwezi kuufumbia macho hapa nchini , acheni utapeli na umbumbumbu team lina makipa wengi kama veteran club.

Vipi lameck lawi mlimshajili?
 
Ww unaumia ukiwa kama na nani? Kama sio visebengo vyenu..mbumbu ni kutokujua kitu..ila kama wao wanaowaacha wanajua kwanini wapo sioni sababu ya ww na uzuzu wenu kuingilia mipango yao..
Hizi ndiyo akili zenu simbilisi

Kesho hayo mapazia yakigongwa mtaanza kudai GSM anaharibu ligi .

Mna wachezaji wengi mpaka hamjui pa kuwapeleka
 
Timu yako imejaa wazee mbona hatujaijadili
Kwa hili mbona tuwekane wazi?

Shabalala tu na kapombe tu miaka yao 35 na 34 bado hujajumlisha kwa vizee vingine kama kale kenye uwalaza sijui mnakaita nani? Eti SGR! Kweli tusi hili nj kubwa mama samia aliangalie Reli yetu inatukanwa wazi wazi
 
Kwani wamekuomba usaidie kuwalipa,mind your business
Hakuna kitu kama hicho lazima tutumbue majipu yaliyoiva pale msimbazi .

Tupo kwenye kampeni ya kukomesha ujinga na utapeli pia umbumbumbu achaneni na mapazia yale sita angalau yabaki matatu tu.
 
Sometimes tunaanza wenyewe kuwachokoza ili watutukane kuwa sisi ni wazee wa kujidunga. Maana tukianza kuzungumzia umri hawa Mikia wanatucheka sana kuwa sababu ya wachezaji wetu kujidunga ni umri kuwa mkubwa.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
I salute you kinsmen.
Kuna vichekesho vingi sana hapa nchini lakini hilj la usajilj wa garasa Mpanzu nalo lijjmuishwe.

Huyu alisajiliwa kwa mihemko sana na bosi wetu gabachori aliingizwa chaka.

Huko Belgium walimkataa kwa majaribio sababu ya umri wake mkubwa miaka 37 y ukweli.

Inasemekana jamaa walitumia vipimo halisi vya kupima umri na kumkuta na miaka hiyo tajwa, si mnajua wenzetu hawapendagi janja janja?

Sasa mzigo huo wametupiwa simba na hakika mtajutia sana.

Kocha Fadlu naye hajui amtumie vipi yaani naye kama kapagawa hivi kaletewa michezaji rundo na hajui anaitumiaje huku akiwa na makipa sita..!

Kila mara amekuwa akijutia sana kujiunga na simba na amekuwa akisema kwa watu wake wa karibu ni bora angebaki kwao sauzi ..

Sasa mpanzu amekuwa mzigo uwanjani na mazoezini.
Mbona wakati wanamsajili walisema ni kwa ajili ya dirisha dogo (December 2024-....) au ni tofauti na hivyo?
 
I salute you kinsmen.
Kuna vichekesho vingi sana hapa nchini lakini hilj la usajilj wa garasa Mpanzu nalo lijjmuishwe.

Huyu alisajiliwa kwa mihemko sana na bosi wetu gabachori aliingizwa chaka.

Huko Belgium walimkataa kwa majaribio sababu ya umri wake mkubwa miaka 37 y ukweli.

Inasemekana jamaa walitumia vipimo halisi vya kupima umri na kumkuta na miaka hiyo tajwa, si mnajua wenzetu hawapendagi janja janja?

Sasa mzigo huo wametupiwa simba na hakika mtajutia sana.

Kocha Fadlu naye hajui amtumie vipi yaani naye kama kapagawa hivi kaletewa michezaji rundo na hajui anaitumiaje huku akiwa na makipa sita..!

Kila mara amekuwa akijutia sana kujiunga na simba na amekuwa akisema kwa watu wake wa karibu ni bora angebaki kwao sauzi ..

Sasa mpanzu amekuwa mzigo uwanjani na mazoezini.
kama chama bado anajitafuta basi mpanzu ni bora zaidi
 
Back
Top Bottom