BuDDaH MBiSHi
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 468
- 495
Kama ulivyo usajili wa DubeI salute you kinsmen.
Kuna vichekesho vingi sana hapa nchini lakini hilj la usajilj wa garasa Mpanzu nalo lijjmuishwe.
Huyu alisajiliwa kwa mihemko sana na bosi wetu gabachori aliingizwa chaka.
Huko Belgium walimkataa kwa majaribio sababu ya umri wake mkubwa miaka 37 y ukweli.
Inasemekana jamaa walitumia vipimo halisi vya kupima umri na kumkuta na miaka hiyo tajwa, si mnajua wenzetu hawapendagi janja janja?
Sasa mzigo huo wametupiwa simba na hakika mtajutia sana.
Kocha Fadlu naye hajui amtumie vipi yaani naye kama kapagawa hivi kaletewa michezaji rundo na hajui anaitumiaje huku akiwa na makipa sita..!
Kila mara amekuwa akijutia sana kujiunga na simba na amekuwa akisema kwa watu wake wa karibu ni bora angebaki kwao sauzi ..
Sasa mpanzu amekuwa mzigo uwanjani na mazoezini.
Maneno yake yataishi kwa miaka mingi hadi pale italaposhuka daraja .Tulimuelewa sana ila sasa ndiyo tunaanza kuona uhai wa maneno yake
Wao wanasema ni kawaida eti na kisa wanalipwa na kina mangungu basi tuwaacheHivi kwa akili ya kawaida kabisa , timu inakuwaje na makipa sita na wawili wa kimataifa!!
Aya mambo utayakuta u mbumbumbuni tu kwenye timu inayo shiriki kombe la kina Mama.
Yaani kwa fikra za namna hii kichwa kinabaki kama kifuniko Cha shingo tu na si vinginevyo.
Hili nalo nenoLazima tuwatoe umbumbumbu kichwani kwanza ili muelewe
Sasa makipa sita wa nini?
Rage ni geniusHizi ndiyo akili za mbumbumbu sasa kuwalipa ndiyo nini?
Akiondoka mmoja wanabaki watano wa nini?
Kweli Rage hakukosea kabisa
Ntibazonkiza alipotoka yanga akaenda wapi?? Ama kweli mbumbumbu hamnazoTupe umri halisi ya chama, mkude, mzize, musonda kabla ya kuja kwa mpanzu....
Kuna kipindi uto walimchukua bigirimana over 45 year, ntibazonkiza over 45 na tukawa kimya
Ukiwa mbumbumbu madhara ndo kama haya unayoyaonaMkude 32 ambayo ni amezidiwa na shabalala mwenye 34 na kapombe 35
Chama 33 , ambayo amezidiwa na mzamiru mwenye 35 na mutale 34
Mzize bado dogo kabisa sio kama dogo lenu la mchongo Valentino mashaka aliyamaliza form four 2013 na ana miaka 19 sasa.
Sasa huho babu "ntombonkiza" simba alijileta au mlimleta?
Kweli mbumbumbu ni mbumbumbu tu
Aymery ni wawapi we mbumbumbuSisi wengine tuliitwa masokwe na tumbili na aliyekua kocha wetu Luc Aymery