gentleman J
New Member
- Apr 25, 2020
- 3
- 103
Habari zenu.
Fabrice ngoma ni mchezaji nzuri..
Juzi kati simba wameajiri scout wa kutafuta wachezaji je scout wa simba anapora wachezaji wa timu pinzani uwanja wa ndege,sasa kazi ya scout ni nini??
Hivi yanga wamtake mchezaji washindwe kumtumia pre contract kwa email??
Transfer market ya fabrice ngoma ni billion 1.
Ile picha ya ngoma anaonekana anapima afya ni picha ya kipindi kile anajiunga na raja Casablanca .
Wakala wa fabrice ngoma anachekecha pande zote mbili iliapate pesa nzuri kwa mteja wake.
Al hilal wanafungua mashitaka juu ya wachezaji wote waliovunja mikataba na timu yao,ikiwemo
Fabrice ngoma
Makabi lilepo..
Kama kuna timu tanzania itakayo
Wasajili wachezaji hao iwe tayari kushitakiwa..
Kuvunja mikataba bila kukubaliwa na timu yao
Ulaya timu ikitaka mchezaji zinapanda bei,sasa nashangaa hapa bonge vipi.
Nakuambia hivi simba hawawezi kumtambulisha fabrice ngoma leo saa 7,niko pale nimekaa nasubiri..