Usajili wa Okrah: Simba SC leo wamepiga kwenye mshono haswa

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Namaanisha kwenye mshono kweli.

Hii ni baada ya kutangaza usajili wa winga/kiungo mshambuliaji Augustine Okrah.

Huyu jamaa nilijua yupo kwenye timu ya taifa ya Ghana, lakini sikujua kumbe kutoka kwenye ligi ya ndani [ligi kuu ya Ghana], jamaa ametoboa kwenye kikosi na mwenzie mmoja pekee.

Hivi uto mnanielewa?

Namaanisha, kutoka ligi kuu ya Ghana, wachezaji waliofanikiwa kuitwa kwenye kikosi cha timu yao ya taifa ni Okrah na mwenzie mmoja, wengine wote wametoka nje ya nchi.

Sasa hapa utamlinganisha Okrah na nani? yule mvuta mabange anayelilia kuitwa timu ya taifa ya kwao lakini haitwi? au wale wazee waliokuwa rejected Congo, Angola, na Ulaya ambao tunapigiwa kelele kila siku za kuwasifia na nyie msiojielewa?!

Kwa hili teke la chini ya mkanda walilopiga Simba SC leo kwenye usajili, nawashauri watoe siku tatu za mapumziko kwa utopolo mpaka watakapopata nafuu ndio watangaze kifaa kingine, uto wasije kutoka damu buree..
 
Ndio ushabiki huo... [emoji23] [emoji23]


Nasubiri msimu uanze, huku sakho, huku okrah, hapa chama.. Juu phiri, Kakosekana tu kiungo mnyumbulifu pale, wa kupiga pasi nyingi za mbele, akiona vipi anapasua mwenyewe(kama bwalya)
Simba inachukua vyuma vinavyojiandaa kwenda ulaya, wakati jamaa zetu wanachukua waliotoka huko miaka 20 iliyopita!.

Hapo kwenye kupasua ngoja tuone kiungo atakaefuata kusajiliwa, lakini hata kwa kiungo mkabaji aliyetoka Coastal jamaa ana nguvu na mapafu, goli moja assist 3.
 
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…