Sure kumchukua Fabregas unaongeza kitu kikubwa sana kwenye brand ya timu hata kama hatacheza.Huyu mtu saana anatufaa, nimeona cesc fabregas anaenda kucheza timu ya ligi daraja la 3 sijuj ni la pili italia huko, nikasema mimi ndio ningekuwa tajiri, naunda kikosi kazi anaenda kupigiwa magoti, chawa kama kina mwijaku waende kumpamba, akija kuona simba day zile kelele na shangwe kaisha[emoji23]
[emoji23][emoji1787]
mimi sitaki kujieleza sana. huyo Morrison ni mavi tu hapa
wekeni takwimu zake tucheke ๐คฃ๐คฃMbna hata sisi yanga mabingwa wa kihistoria tuna kambole msitutishe na hako ka okrah kenu[emoji23]
Ngoja nifukuwe hili kaburi, nyenyenye kiko wapi sasa?Namaanisha kwenye mshono kweli.
Hii ni baada ya kutangaza usajili wa winga/kiungo mshambuliaji Augustine Okrah.
Huyu jamaa nilijua yupo kwenye timu ya taifa ya Ghana, lakini sikujua kumbe kutoka kwenye ligi ya ndani [ligi kuu ya Ghana], jamaa ametoboa kwenye kikosi na mwenzie mmoja pekee.
Hivi uto mnanielewa?
Namaanisha, kutoka ligi kuu ya Ghana, wachezaji waliofanikiwa kuitwa kwenye kikosi cha timu yao ya taifa ni Okrah na mwenzie mmoja, wengine wote wametoka nje ya nchi.
Sasa hapa utamlinganisha Okrah na nani? yule mvuta mabange anayelilia kuitwa timu ya taifa ya kwao lakini haitwi? au wale wazee waliokuwa rejected Congo, Angola, na Ulaya ambao tunapigiwa kelele kila siku za kuwasifia na nyie msiojielewa?!
Kwa hili teke la chini ya mkanda walilopiga Simba SC leo kwenye usajili, nawashauri watoe siku tatu za mapumziko kwa utopolo mpaka watakapopata nafuu ndio watangaze kifaa kingine, uto wasije kutoka damu buree..
bangi sio udiNamaanisha kwenye mshono kweli.

Nafikiri jibu unaloPumba ni zipi hapo..
Okrah kufunga goli 14 na assist 3 akiwa ligi kuu Ghana?
Au Okrah kuwepo timu ya taifa ya Ghana?
Au Okrah akiwa Sudan PL kufunga goli 17, assist 11, kwenye mechi 26?
Sasa hapo kaa chini jiulize vizuri, nani mwenye sonona kati yangu nawe?
AiseeKwaio Simba imesajili chezaji tutakalo liona kombe la Dunia Qatar?
kuna watu wanapresha mtauwa wenzenu mjue!
Kabuli limefukuliwa kweliNgoja nifukuwe hili kaburi, nyenyenye kiko wapi sasa?
Nyieeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbu x 3wekeni takwimu zake tucheke [emoji1787][emoji1787]
HahaaaKwisha habari yake.amekosea ameenda kwa waua vipaji.angefika Avic town Nabi angempika Fei Cha mtoto.walozi fc wamemmaliza
Vina muda basi[emoji28]..Ghana hiyo hiyo ambayo morisson anatokea ndio Ghana hiyo hiyo ambayo Simba wamesajili mshambuliaji ambaye anakiwasha QATAR