makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Chama si mzuri saana namba 8, labda kocha ambadilishe kidogo.huyo kiungo ndio chama mwenyewe sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama si mzuri saana namba 8, labda kocha ambadilishe kidogo.huyo kiungo ndio chama mwenyewe sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanabaki kulia lia tyuuuh.Wana hali mbaya sana, nimewaombea siku tatu za mapumziko, lile teke la kitovuni walilopigwa jana linawauma sana...
atapata tu ,kipindi kile alikua haruhusiwi kucheza mechi za kimataifa na ligi ilishapoteza mvuto so morali ilikua chiniChama tangu arudi Simba toka Morocco namuona hayuko vizuri kiuchezaji, hana match fitness ya kutosha.
anasema kuna mizengwe katika uchaguaji wa wachezaji..yule mvuta mabange anayelilia kuitwa timu ya taifa ya kwao lakini haitwi?
Uto wakiona hii wanazidi kununa wanaanza kutunga story za uongo Simba kuna mgogoro, kwa hizi sindano kazi wanayo mpaka dozi iishe hawatatembea wiki, ni kuchechemea tu!.View attachment 2290311
Mjinga yeyote namuacha abishane na hili goli,
Khaa! Oprah?? Sisi Tumuogope Huyo?! Akati Alikuja Kocha Kutoka Madrid Aliyewanoa Benzema Na Modric Na Bado Mkapasuka Mechi Nne Zote Hamkufunga Hata Goli La Offside [emoji23][emoji23][emoji23]Mmeshaanza kujificha kwa usajili wa Okrah...sijui kama wakati huo ukifika utakuwepo!.
Msimu uliopita Simba SC hawakuwa na timu, msimu huu mtataga!Khaa! Oprah?? Sisi Tumuogope Huyo?! Akati Alikuja Kocha Kutoka Madrid Aliyewanoa Benzema Na Modric Na Bado Mkapasuka Mechi Nne Zote Hamkufunga Hata Goli La Offside [emoji23][emoji23][emoji23]
Khee! Ukiacha Kocha La Madrid Nyie Si Mlikuwa Mpk Na Mchezaji Aliyetoka Timu Inayoshiriki Uefa Ambaye Ni Peter Banda, Timu Ipi Sasa Ambayo Hamkuwa Nayo Apo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Msimu uliopita Simba SC hawakuwa na timu, msimu huu mtataga!
Naona unajitia upofu makusudi.Khee! Ukiacha Kocha La Madrid Nyie Si Mlikuwa Mpk Na Mchezaji Aliyetoka Timu Inayoshiriki Uefa Ambaye Ni Peter Banda, Timu Ipi Sasa Ambayo Hamkuwa Nayo Apo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huo upole unatupa wewe,hamna hata mchezaji wa kufanya tuwe wapole pale,nyie endeleeni kujifariji ndio wakati wenu huu,sie hatuna habari tunawasikilizia msuva na aziz ki wetu
Kwa mwenye experience hutakiwi kusubiri mechi 5, wanasema form is temporary, class is permanent.Nawashangaa wanavyopiga kelele wakati hata ligi haijaanza bado. Badala wao kusubiri japo mechi 5 za msimu ndo waanze kumsifia, wao wanapiga kelele sasa hv
Hao ndio mikia na hulka zao,msimu huu kama awatovunja viti tena sijuiNawashangaa wanavyopiga kelele wakati hata ligi haijaanza bado. Badala wao kusubiri japo mechi 5 za msimu ndo waanze kumsifia, wao wanapiga kelele sasa hv
Fabrice Mwamba Ngoma ni free agent aiseeNdio ushabiki huo... [emoji23] [emoji23]
Nasubiri msimu uanze, huku sakho, huku okrah, hapa chama.. Juu phiri, Kakosekana tu kiungo mnyumbulifu pale, wa kupiga pasi nyingi za mbele, akiona vipi anapasua mwenyewe(kama bwalya)
Huyu mtu saana anatufaa, nimeona cesc fabregas anaenda kucheza timu ya ligi daraja la 3 sijuj ni la pili italia huko, nikasema mimi ndio ningekuwa tajiri, naunda kikosi kazi anaenda kupigiwa magoti, chawa kama kina mwijaku waende kumpamba, akija kuona simba day zile kelele na shangwe kaisha😂Fabrice Mwamba Ngoma ni free agent aisee