Usajili wa Okrah: Simba SC leo wamepiga kwenye mshono haswa

Usajili wa Okrah: Simba SC leo wamepiga kwenye mshono haswa

Wana hali mbaya sana, nimewaombea siku tatu za mapumziko, lile teke la kitovuni walilopigwa jana linawauma sana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanabaki kulia lia tyuuuh.
 
Chama tangu arudi Simba toka Morocco namuona hayuko vizuri kiuchezaji, hana match fitness ya kutosha.
atapata tu ,kipindi kile alikua haruhusiwi kucheza mechi za kimataifa na ligi ilishapoteza mvuto so morali ilikua chini
 
Mjinga yeyote namuacha abishane na hili goli,
 
Ligi ikianza mara ooh GSM ananunua mechi. Mara GSM anahonga bahasha za kaki. Tarehe 13 sio mbali.
 
anasema kuna mizengwe katika uchaguaji wa wachezaji..
Hawezi kusema ukweli kuna mafundi zaidi yake, mtu kajaza magoli na ma assist mpaka anaogopesha.
 
Mmeshaanza kujificha kwa usajili wa Okrah...sijui kama wakati huo ukifika utakuwepo!.
Khaa! Oprah?? Sisi Tumuogope Huyo?! Akati Alikuja Kocha Kutoka Madrid Aliyewanoa Benzema Na Modric Na Bado Mkapasuka Mechi Nne Zote Hamkufunga Hata Goli La Offside [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Khaa! Oprah?? Sisi Tumuogope Huyo?! Akati Alikuja Kocha Kutoka Madrid Aliyewanoa Benzema Na Modric Na Bado Mkapasuka Mechi Nne Zote Hamkufunga Hata Goli La Offside [emoji23][emoji23][emoji23]
Msimu uliopita Simba SC hawakuwa na timu, msimu huu mtataga!
 
Msimu uliopita Simba SC hawakuwa na timu, msimu huu mtataga!
Khee! Ukiacha Kocha La Madrid Nyie Si Mlikuwa Mpk Na Mchezaji Aliyetoka Timu Inayoshiriki Uefa Ambaye Ni Peter Banda, Timu Ipi Sasa Ambayo Hamkuwa Nayo Apo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Khee! Ukiacha Kocha La Madrid Nyie Si Mlikuwa Mpk Na Mchezaji Aliyetoka Timu Inayoshiriki Uefa Ambaye Ni Peter Banda, Timu Ipi Sasa Ambayo Hamkuwa Nayo Apo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona unajitia upofu makusudi.

Lobi Manzoki.

Mosses Phiri.

A. Okrah.

Rudia kuyasoma hayo majina mara tatu tatu mpaka uyakariri.
 
Huo upole unatupa wewe,hamna hata mchezaji wa kufanya tuwe wapole pale,nyie endeleeni kujifariji ndio wakati wenu huu,sie hatuna habari tunawasikilizia msuva na aziz ki wetu

Nawashangaa wanavyopiga kelele wakati hata ligi haijaanza bado. Badala wao kusubiri japo mechi 5 za msimu ndo waanze kumsifia, wao wanapiga kelele sasa hv
 
Nawashangaa wanavyopiga kelele wakati hata ligi haijaanza bado. Badala wao kusubiri japo mechi 5 za msimu ndo waanze kumsifia, wao wanapiga kelele sasa hv
Kwa mwenye experience hutakiwi kusubiri mechi 5, wanasema form is temporary, class is permanent.

Hizo mechi 5 unasubiri kwa kinda kama huyo mliemtangaza usiku wa manane, hamjiamini kabisa.
 
Ndio ushabiki huo... [emoji23] [emoji23]

Nasubiri msimu uanze, huku sakho, huku okrah, hapa chama.. Juu phiri, Kakosekana tu kiungo mnyumbulifu pale, wa kupiga pasi nyingi za mbele, akiona vipi anapasua mwenyewe(kama bwalya)
Fabrice Mwamba Ngoma ni free agent aisee
 
Fabrice Mwamba Ngoma ni free agent aisee
Huyu mtu saana anatufaa, nimeona cesc fabregas anaenda kucheza timu ya ligi daraja la 3 sijuj ni la pili italia huko, nikasema mimi ndio ningekuwa tajiri, naunda kikosi kazi anaenda kupigiwa magoti, chawa kama kina mwijaku waende kumpamba, akija kuona simba day zile kelele na shangwe kaisha😂
 
Back
Top Bottom