Usajili wa Okrah: Simba SC leo wamepiga kwenye mshono haswa

Usajili wa Okrah: Simba SC leo wamepiga kwenye mshono haswa

Okrah nae ni binadamu, sometimes yes ... sometimes NO, ndicho kilichomkuta Simba SC.

Hata mpira wa ulaya kuna wachezaji wengi wazuri waliosajiliwa timu nyingine wakashindwa ku perform.

Unaonekana bado kipofu wa footballing game, mifano kama Fernando Torres akiwa Chelsea, hakufanana na yule wa Liverpool, Eden Hazard akiwa Chelsea, hafanani na wa R. Madrid, mifano ni mingi...

Hope umefunguka akili kidogo utopolo, na mwaka huu ndio balaa mnalo, ipo mfukoni bilioni 5 ya CAF Super League kwa ajili ya kuwanyoosha kwenye usajili.

Nimemaliza.
Hizo ni pesa za Mwamedi.
 
Back
Top Bottom