Usajili wa panic wa Simba: Yanayoendelea mitandaoni

Mangi Meno

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2024
Posts
292
Reaction score
895
Ewe mwana Lunyasi mwenzangu, weka kituko kilichopo mtandaoni kuhusi usajili wetu wa kupaniki.

Wakati wa usajili, Sifa anapewa Mo ila ligi na michuano mbalimbali ikianza, Lawama zote anapewa Mangungu.


Blog maarufu ya soko Afrika yakashfu usajili wa kukurupuka wa wana lunyasi.


Mwingine huyo hapo, mchambuzi na mwana Lunyasi mwenzetu kaamua kufunguka.


Ndaro naye ni mwana Lunyasi amekuja kuziba pengo la Chama.

Ongeza mwana lunyasi kuhusu sajili zetu.
 
Dampo Fc mmeanza kuogopa, Simba ametulia sana kwenye huu usajili safari hii mmetka kapa kwenda kuhijack deal za simba kama misimu iliyopita

Aziz K,pacome,Aucho hizi ni baashi ya Scout za Simba mlizopita nazo kwa uzembe wa kamati ya usajili ya simba, safari hii mmekutana na wakali wa hizi kazi
 
Unaumia ukiwa angle gani hapo utopoloni?
 
Hawa jamaa wanaweza kuwapa mkataba Kayumba na Dogo Janja! Kama kigezo ni rasta tu!!
 
Uyo admin wa africasoccerzone ameua πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…