Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
mkuu magoli yanatengenezwa wafungaji wanatetemeka miguu,bongo hakuna fowardTatizo ni kwamba mpira wetu ni too local wachezaji wanapoteza mpira hovyo, ball control ni tatzo halafu pia magoli yanatengenezwa kama tunavyoona kwenye timu za ulaya lakini hapa bongo magoli yanatokea bahati mbaya wachezaji hawafundishwi kutengeneza nafasi za magoli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bocco kifunga goli itamchukua muda sana na Opwiiiiiiiiiii?mkuu magoli yanatengenezwa wafungaji wanatetemeka miguu,bongo hakuna foward
Man u na simba wote wale wale .....kuanza ligi kwa mbwembwe kumaliza kwa huzuni