Usajili wa simba wa Billion 1.5 ni kwaajili ya kuzifunga timu ndogo tu au

Usajili wa simba wa Billion 1.5 ni kwaajili ya kuzifunga timu ndogo tu au

Timu ndogo zina njaa.....
Wakionyeshwa hela wanaenda uwanjani kuqmilisha ratiba.
 
Yaani yanga mna kazi sana.. Sisi tunaumia kutoa sare na ninyi chakushangaza nyie mmefurahi na kuona kila kitu mmemaliza.. Mbona hamkosagi maneno? Tukifungwa na timu ndogo mnasema tuliandaa timu ili kuifunga yanga tu.. Na sasa mmepona bado mnachonga midomo ka tarumbeta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni kwamba mpira wetu ni too local wachezaji wanapoteza mpira hovyo, ball control ni tatzo halafu pia magoli yanatengenezwa kama tunavyoona kwenye timu za ulaya lakini hapa bongo magoli yanatokea bahati mbaya wachezaji hawafundishwi kutengeneza nafasi za magoli.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu magoli yanatengenezwa wafungaji wanatetemeka miguu,bongo hakuna foward
 
Back
Top Bottom