Usajili wa Simba wamepatia 80%

Usajili wa Simba wamepatia 80%

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Simba imesajili vizuri
Upande wa Beki sio mbaya sana, Akpan atamsaidia Kanoute. Mhm apunguze UZITO. PHIRI is the best kwa sbb ana track mpira na anakimbia kwa haraka naye aongeze mazoezi ya kupunguza uzito.

Mzungu DEJAN yule hapana kwa soka la Afrika hatatusaidia mfano Jana SImba wakicheza na HILAL kapewa 90 Min hana on target. Mzito, hakimbii, hakaii na mpira wont help kwenye mechi za kimataifa ukitaka ucheze kama striker mmoja mbele.

Kapama ni Kiraka atatusaidia ZIMBWE akiuumia au Inonga akiiumia usajili mzuri anahtaj utulivu na kupunguza hasira ndani ya box, Okra taa ya kijani mzuri, OKWA hamna kitu hana kitu cha ziada...

KIKOSI CHANGU CHA KUANZA KILA MECHI INYESHE MVUA ISINYESHE

MANULA

KAPOMBE/ISRAEL INONGA QUATTARA/ONYANGO ZIMBWE JR

KANOUTE/AKPAN
SAKHO/OKWA CHAMA OKRAH BANDA/KIBU
PHIRI (KYOMBO)
 
Nilidhani ni mimi tu ninayeona huyu Okwa ni mchezaji wa kawaida kumbe tupo wengi.
 
Okwa xxxxxxx
DEJAN xxxxxxxx
BANDA XXXXXXX.
SAKO XXXXXXXXXX.
KIUNO MKABAJIXXXXXXX

MANZOKI.XXX
ADEBAYOR.XXXX
AZIZI KII.XXXX
BOBOSI.XXXXX
NGOMA. XXXX

SIMBA TUNAUMIA SANA
 
Nilidhani ni mimi tu ninayeona huyu Okwa ni mchezaji wa kawaida kumbe tupo wengi.
Sasa kama alipewa usajili baada ya kuifunga Yanga akiwa na Rivers United msimu uliopita, unategemea nini!
 
Back
Top Bottom