Usajili wa Sterling: Chelsea wameshapigwa na kitu kizito, chenye ncha kali

Usajili wa Sterling: Chelsea wameshapigwa na kitu kizito, chenye ncha kali

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole pole mkuu
mie sio shabiki wa chelsea ila sterling
kila msimu lazima acheze mechi zaidi ya 30 kwenye pl huku jumla ya mechi ni 38
halafu unakuja kusema huyo mtu hana mchango kwenye timu
unaeleweka vip na wapi na nani atakuelewa
halafu unasema magoli sio kigezo
 
Inawezekana wewe huna uelewa na Mpira wa Miguu..

Kama unakumbuka Juan Mata aliwekwa Bench na Chelsea lakini akasajiliwa Na Manchester united na akawa mchazaji wao Chaguo la kwanza

Cesc Fabregas aliwekwa bench Barcelona Na akawa Akicheza mashabiki wa Barcelona Wanamzomea...chelsea wakamnunua na akashinda EPL 2. FA Cup, League Cup, nk

Nemanja Matic Vile vile
Tafuta historia

Mchezaji Kukaa bench haina maana kwamba hajui..

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
kuna mifano mingi
Henry alikuwa mshika bips mazoezini juve
viera alikuwa hana namba milan
hebu angalia walivyokuja highbury
 
mie sio shabiki wa chelsea ila sterling
kila msimu lazima acheze mechi zaidi ya 30 kwenye pl huku jumla ya mechi ni 38
halafu unakuja kusema huyo mtu hana mchango kwenye timu
unaeleweka vip na wapi na nani atakuelewa
halafu unasema magoli sio kigezo

Jamaa hana facts
 
Wabongo ni wabishi sana, Ila muda ndio utaongea.
 
Unatombewa mke na boda boss unakuja kuandika ujinga kuhusu mpira wakati umeshinda kumzuiya mkeo asiliwe na boda boda.
Unatoka nje ya mada, Huo ni uthibitisho kuwa maaneno yangu yamegonga ndipo kabisa.
 
Back
Top Bottom