OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kwa huyo jamaa tungoje tuHakika asee, ila kwa huyo mbrazili dah
Tusubiri.
Hakika mkuu.Kwa huyo jamaa tungoje tu
Katika miaka ya karibuni uandishi hasa wa magazeti ya michezo ni kama magazeti ya udaku.
habari ni uongo mtupu na kupambatu ili kuvutia wanunuzi lakini ukinunu kusoma habari nitofauti kabisa na kichwa cha habari.
hapa nadhani wizara ya habari inatakiwa itoe darasa kwa waandishi pamoja na wahariri wa magazeti maana huku ni ujambazi wa kuwaibia wasomaji kwa habari za udaku.
Katika Sekta zote kuazia kwenye Siasa(Utawala na menejimenti) Tunaendesha na kuishi kwa propaganda ili kupata mkate wa kila siku/kufanya mambo yaonekane yanaenda! Hivi vyombo vya habari navyo vinasaka mkate! Suala la kujiuliza hivi wanapateje wateja....jibu lake ndio Watanzania tulivyo! Kama kuna Watanzania Hawajui wanapoumwa waende wapi; kuna wengine wanatembea kilomita 10 kupanga foleni ya kuchota maji ya kunywa,na bado wanaona wanastahili na wanawapigia makofi viongozi unashangaa nini Mhariri kupamba gazeti lake kwa Rangi Nyekundu au kijani ..SIMBA YAJIBU MAPIGO au YANGA YAIMALIZA SIMBA!Katika miaka ya karibuni uandishi hasa wa magazeti ya michezo ni kama magazeti ya udaku.
habari ni uongo mtupu na kupambatu ili kuvutia wanunuzi lakini ukinunu kusoma habari nitofauti kabisa na kichwa cha habari.
hapa nadhani wizara ya habari inatakiwa itoe darasa kwa waandishi pamoja na wahariri wa magazeti maana huku ni ujambazi wa kuwaibia wasomaji kwa habari za udaku.
Labda Waispania na Wataliano wa MwanarumangoKuna washambuliaji muispania na mtaliano,,stay tuned,,,
Vyura fc watameza sana panadol za kutuliza maumivu msimu huu,,
Labda Waispania na Wataliano wa Mwanarumango
Huu usajili makini unaweza kusaidia timu kuwa na speed. Kama Kahata kasaini basi speed ya timu itakuwa hatari sanaUsajili wa msudan hakika uko vzur
Kwa iyo biashara ya magazeti imeingiliwa na wataalam wa propaganda?Katika Sekta zote kuazia kwenye Siasa(Utawala na menejimenti) Tunaendesha na kuishi kwa propaganda ili kupata mkate wa kila siku/kufanya mambo yaonekane yanaenda! Hivi vyombo vya habari navyo vinasaka mkate! Suala la kujiuliza hivi wanapateje wateja....jibu lake ndio Watanzania tulivyo! Kama kuna Watanzania Hawajui wanapoumwa waende wapi; kuna wengine wanatembea kilomita 10 kupanga foleni ya kuchota maji ya kunywa,na bado wanaona wanastahili na wanawapigia makofi viongozi unashangaa nini Mhariri kupamba gazeti lake kwa Rangi Nyekundu au kijani ..SIMBA YAJIBU MAPIGO au YANGA YAIMALIZA SIMBA!